Roho Yangu Inazidi Kuwa Ngumu!

Khan

JF-Expert Member
Dec 6, 2012
6,105
2,000
Habari za Jumapili Ndugu Zangu WanaJF.
Ni Tumaini Langu kuwa mpo sawa na Mnaendelea vema na harakati za kila siku za kutafuta Riziki na Mkate wa kila siku.
Mwenzenu mimi Kiufupi Nilikuwa Mtu mwenye Huruma sana, Ambaye jambo kidogo likienda ndivyo sivyo Nasononeka sana na Hupenda kutafuta suluhu.
kama mwaka jana hivi katikatia Nilikutana na changamoto kadhaa hasa kwa upande wa Marafiki zangu yaani tulishindwa kuelewana Lugha ikawa kama tumekaushiana..Basi kwa kuwa walikuwa kama wa tatu ivi nikakosa Namna japo iliniuma sanaa sometimes vile nikikumbuka tulivyowahi kuwa na nyakati njema Hapo Nyuma.
basi nikajikuta sikutaka suluhu wala Kujishusha japo sikutaka kuwapoteza na Roho ilikuwa Ikiuma.....Basi siku zikazidi kwenda na Maumivu yakawa sugu na nikawa siumii tena.
Cha ajabu sasa Hata mtu yeyote Nikikosana nae lugha au Hata Kugombana yaani sijisikii Kujutia wala Kusononeka naonaa kawaida tu. Kiufupi Naona Naanza Kuwa na Roho Ngumu Kama sio Mbaya. Je Hii ni sawa wananduu? Je niendelee Hivi Au Nirudie Hali yangu ya Mwanzo.
 
seanherms

JF-Expert Member
Apr 27, 2014
453
500
Endelea hivyo mkuu,lakini usiwe na roho mbaya!kutokuumia ni vizuri lakini roho mbaya ni swala jingine.
 
Miss moro

Senior Member
Aug 9, 2016
113
500
Pole sana ila wakati mwingine BINADAMU ndo hukufanya mtu uwe na roho mbaya na watu tulio na roho nzuri za huruma huwa tunapata tabu sana katika maisha ya mahusiano eidha ya kirafiki au mapenzi roho zetu njema zisizo za visasi na huruma hutuponza sana tena sana
Inafika wakati huchelewesha hata maendereo ya kimaisha
kuna wakati rafiki yangu mmoja kipenzi kabisa lkn hivi sasa ni marehemu Aliniambia
HILI UFANIKIWE KIMAISHA YAKUPASA UISHI NA WATU VIZURI LAKINI ILI KUFIKIA MAFANIKIO YA JUU AU MARENGO YAKO HUNA BUDI KUWA NA ROHO MBAYA
nadhani ndicho kilichotokea kwako ulilazimika kuwa roho ya kikauzu ili mambo yaende 7bu ulichoshwa mno ikafika wakati ukaona kama mbwai na iwe mbwai tu
Ushauri wangu maisha tunapita tu hapa duniani haina haja ya kuwa na roho chuki na kisasi
MOYO ni nyumba ya kuhifadhi CHUKI hii ikiwa umeumizwa kwa kiasi kikubwa na wanadamu
lkn CHUKI ni UCHAFU katika moyo ukirundikana sana unaiambukiza ROHO uchafu huo mwisho unakuwa na ROHO MBAYA na UKATIRI
muhimu kutoka sasa safisha moyo wako kuondoa CHUKI zote ishi kama walivyoishi MITUME wetu kama wewe ni mkrsto basi ishi namna alivyoishi YESU na wanafunzi wake kama wewe MUISLAM basi fata namna alivyoishi MUHAMMAD na maswahaba wake hakika hutajutia katika maisha haya ukiishi kama mkimbizi katika DUNIA hii kwa7bu hujui utaumwa lini nani atakusaidia utakufaje utakufa lini atakuzika nani na huko uendako ni nn kitatokea kumbuka utakapokufa utakumbukwa kwa mazuri yako na mabaya yako sasa ikiwa idadi ya wanaokukumbuka kwa mabaya ni kubwa itakupa tabu sana huko kaburini 7bu tunakufa kimwili lkn kiroho tupo nasi hasa zikiwa chafu hutangatanga sana duniani hazipo AKHERA hazipo KUZIMU hazipo basi huwa shida kwako mwanadamu

Mkuu piga moyo konde wakati ni sasa wasamehe wote nafsni mwako na muombe MOLA wako akufanye kuwa mtu mpya mwenye moyo SAFI
HAKIKA KILA MWENYE SUBIRA YUPO PAMOJA NA MUNGU basi naamini ipo siku MWENYEZIMUNGU atakujaria MARAFIKI BORA MARAFIKI CHANYA
 
Thanks Elot dear Dada You Made ma Sunday!
 
troublemaker

JF-Expert Member
Jun 8, 2015
14,798
2,000
Labda tu nikuulize vipi kipato kimeongezeka tofauti na mwanzo?

Kuna kinachokupa kiburi si bure.
 
Perfectz

JF-Expert Member
May 17, 2017
6,692
2,000
Sawa sawa mkuu lakini maisha ya leo hayawezi kuwa sawa na ya kesho.Jifanyie wepesi wa moyo,roho na akili pia.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom