Roho ya kukataliwa

Roho ya kukataliwa

Aisee kweli watu tunatofautiana.
Mimi binafsi huwa sipendi sana mazoea na watu.
Naishi mimi kama mimi wale wanaonielewa wananielewa asiyenielewa atajua yeye mana si lazima kila mtu akuelewe.
Sina marafiki wala rafiki ila kuna watu tu tu na mazoea yale ya kawaida.
Ishi maisha yako Mana Kuna watu watakukubali tu jinsi ulivyo na watajiweka karibu na wewe.
Usiishi ili kila mtu akupende mana hakunaga kupendwa na kila mtu zaidi tu utapata huko na wanafiki humohumo.
Halafu kuwa na rundo la marafiki au watu wanaokukubali muda mwingine inakuwa kama mzigo ni bora kuwa na watu wachache wenye msaada na maono ya kufika mbali.
Nimekuelewa vyema.
 
Tafuta ela, nunua passo mpya namba D, jirani akiugua atakutafuta umpeleke hospitali.

Kingine, bangi ya dar wanaichanganya na mavi ya ng'ombe, tafuta ya arusha.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom