Ushauri kuntu.Why utake kukubalika kwa watu? Ishi maisha yako enjoy life miliki pesa uone machawa wanavyojileta. Kimsingi hakuna mtu atakushobokea kama hakuna atakacho nufaika nacho kwako na pia hali yoyote huwa ni ya mpito hakuna kinachodumu hivyo songa mbele mema mengi utakutana nayo mbele kwa mbele
Niliishaacha mkuu
NilishaachaTatizo ni u smoker
Asante kwa ushauriUsijiwazie negative maana maandiko ya biblia yanasema UKIONACHO ROHONI MWAKO NDICHO KITAKACHOKUJILIA....chunga Sana moyo wako maana ndiko kutokako chem chem ya uzima ..Hivyo Anza kujikubali mwenyewe na wengine watakukubali, jipende mwenyewe na wengine watakupenda ..
SawaAcha kujipendekeza
Ni kitu kama icho,je nifanyeje?Upo kwenye circular loop...Na hujui Nani chanzo?
Wewe kutojikubali ndo kumefanya watu wasikukubali?? Au watu kutokukubali ndo kumekufanya usijikubali?
AsanteRoho ya kukataliwa inaanza na Wewe mwenyewe kujikataa/kujikinai kuona kama hauwezi Kila jambo ni ibilisi anakutengenezea hiyo Hali, namna unavyojiona ndivyo jamii nayo inavyokuona, jikubali, kubali Hali uliyonayo au unayopitia
Niko tayari kwa ushauri wako mkuuUhalisia kuwa hukubaliki haupo isipokuwa hisia ulizonazo zinakusumbua, hali yako imetokana na malezi, makuzi, mazingira na watu wanaokuzunguka.
Tupo tayari kukusaidia utoke katika hali ya unayojisikia uweze kujiamini na kusonga mbele, karibu sana.
UbarikiweWhy utake kukubalika kwa watu? Ishi maisha yako enjoy life miliki pesa uone machawa wanavyojileta. Kimsingi hakuna mtu atakushobokea kama hakuna atakacho nufaika nacho kwako na pia hali yoyote huwa ni ya mpito hakuna kinachodumu hivyo songa mbele mema mengi utakutana nayo mbele kwa mbele
Mimi sio tajirimatajiri hawana hizo roho za kijinga mkuu
KaribuAsante
Nashukuru nitafanyia kaziUnataka ukubaliwe ili nini?Upendwe na kila mtu kwani wewe ni Pesa?
Iko ili ukubaliwe na watu lazima kwanza wewe ujikubali.Je unajikubali?Unajiamini?Unajipenda?Unajiheshimu?
Fanyia kazi hayo mengine uanakuja yenyewe
Asante kwa ushauriMwanzoni nilikua napenda kuwaona watu wengi wakiwa na mimi,nikapata changamoto kikazi,wote wakala kona, nikajagundua kumbe hapendwi mtu, kinachpendwa ni kile alichonacho, Sasa hivi ukinipigia simu nitakupigia,usiponipigia nami sikupigii, Jikubali mwenyewe jipende, halafu ukikaa sana kwenye kundi la watu unafell kugundua mambo mengi uliyonayo maana mda wote utakuwa unasikiza story za watu wengine. Mwisho wa siku kila mtu ataondoka kwenye maisha yako hivyo jiandae kuwa smart kwa hali yoyote katika maisha.
Mbususu nachakata vyema kabisa mkuulakini mbususu unapata ?
Noted!We tafuta hela sio lazima upendwe na kila mtu.
Bangi nilishaachaAcha bangi!! Hizo ni effect za bangi,nina uhakia! Nimepitia huko,ukiendelea itakutengenezea Inferiority complex
Pesa bado sinaTatizo ni wewe sio watu. Tafuta pesa ukiwa na pesa still unakataliwa jua hio ni roho
NotedJikubali wewe inatosha
NishaachaNakazia
Effects za ganja ni pamoja na kujishtukia mwenyewe