jembe afrika JF-Expert Member Joined Jan 15, 2014 Posts 7,602 Reaction score 3,783 Aug 23, 2015 #2 mshana jr huyu jamaa alikubalije kupigwa picha? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,456 Reaction score 872,090 Aug 23, 2015 Thread starter #3 jembe afrika said: mshana jr huyu jamaa alikubalije kupigwa picha? Click to expand... Waka hakujaua kwakuwa hata miguuni hajui kama hana viatu Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
jembe afrika said: mshana jr huyu jamaa alikubalije kupigwa picha? Click to expand... Waka hakujaua kwakuwa hata miguuni hajui kama hana viatu
jembe afrika JF-Expert Member Joined Jan 15, 2014 Posts 7,602 Reaction score 3,783 Aug 23, 2015 #4 mshana jr said: Waka hakujaua kwakuwa hata miguuni hajui kama hana viatu Click to expand... Sijakupata mkuu
mshana jr said: Waka hakujaua kwakuwa hata miguuni hajui kama hana viatu Click to expand... Sijakupata mkuu
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,456 Reaction score 872,090 Aug 24, 2015 Thread starter #5 jembe afrika said: Sijakupata mkuu Click to expand... Yani ishu ya kuwa anapigwa picha hakujaua kwakuwa hata miguuni hana viatu na hajui
jembe afrika said: Sijakupata mkuu Click to expand... Yani ishu ya kuwa anapigwa picha hakujaua kwakuwa hata miguuni hana viatu na hajui
Kaisari JF-Expert Member Joined Nov 13, 2012 Posts 3,636 Reaction score 3,046 Aug 24, 2015 #6 Alikuwa na lengo ambalo lazima litimie. Haijalishi kikwazo gani kipo lazima azma yake iwe.
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 Aug 24, 2015 #7 Acha tu
H Hatugombani JF-Expert Member Joined Jun 15, 2013 Posts 1,156 Reaction score 825 Aug 25, 2015 #8 Wapenzi,msijilipize kisasi,bali ipisheni ghadhabu ya Mungu; maana imeandikwa,Kisasi ni juu yangu mimi; Mimi nitalipa, anena Bwana.Warumi 12:19.Hallelujah
Wapenzi,msijilipize kisasi,bali ipisheni ghadhabu ya Mungu; maana imeandikwa,Kisasi ni juu yangu mimi; Mimi nitalipa, anena Bwana.Warumi 12:19.Hallelujah
Mgirik JF-Expert Member Joined Apr 27, 2013 Posts 13,286 Reaction score 13,460 Aug 25, 2015 #9 Aisee! Hapo bora upambane na sima ila sio huyo jamaa. Maana mpaka sura imebadlika moyo umejawa na hasira hana hata punje ya huruma.. Hii hatar sana hyo roho ikiisha kukaa ni hatar mno..
Aisee! Hapo bora upambane na sima ila sio huyo jamaa. Maana mpaka sura imebadlika moyo umejawa na hasira hana hata punje ya huruma.. Hii hatar sana hyo roho ikiisha kukaa ni hatar mno..
Raia Fulani JF-Expert Member Joined Mar 12, 2009 Posts 11,866 Reaction score 4,266 Aug 25, 2015 #10 jembe afrika said: mshana jr huyu jamaa alikubalije kupigwa picha? Click to expand... unadhani ilitumika simu? zipo kamera za masafa Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
jembe afrika said: mshana jr huyu jamaa alikubalije kupigwa picha? Click to expand... unadhani ilitumika simu? zipo kamera za masafa
mixx JF-Expert Member Joined Jan 9, 2014 Posts 1,371 Reaction score 8,376 Aug 25, 2015 #11 hiyo picha ni ya wakati wa xenophobia huko south africa jamaa alikuwa anajikinga ndiyo maana alikuwa hana ata viatu alikuwa ametoroka kujinusuru
hiyo picha ni ya wakati wa xenophobia huko south africa jamaa alikuwa anajikinga ndiyo maana alikuwa hana ata viatu alikuwa ametoroka kujinusuru