Roho, Tafsiri, Mkanganyiko na uwepo wake

Roho, Tafsiri, Mkanganyiko na uwepo wake

Hapana hii ni lugha tuu kwakuwa moyo ni kiungo ndani ya mwili lakini roho ndio kila kitu
Kuvunjika moyo ni kiambishi cha kukata tamaa ni 'subject state' sio 'object state'
mhh! ngumu.
 
mhh! ngumu.
Iko hivi
d57c1c3b3f82c347be15c5a51b3086b8.jpg
bd9eb6b217b757729efe0729fdcfaf50.jpg
soma kwa makini sana na taratibu kitafakari kila kipengele utaona ukweli wake
 
hata moyo kibibilia sio huu unaovibrate kifuan.moyo ni utu wa ndani wa mwanadamu.
 
hata moyo kibibilia sio huu unaovibrate kifuan.moyo ni utu wa ndani wa mwanadamu.
Na huo utu ndio roho...ili embe liweze kustawi linahitaji kokwa kwahiyo embe bila kokwa haiwezekani lakini kokwa bila embe inawezekana...ni sawa na kusema moyo bila roho haiwezekani lakini roho bila moyo inawezekana...a complicated phenomenon
 
Iko hivi
d57c1c3b3f82c347be15c5a51b3086b8.jpg
bd9eb6b217b757729efe0729fdcfaf50.jpg
soma kwa makini sana na taratibu kitafakari kila kipengele utaona ukweli wake
Dah!!! Yani hapa ndo umeshindilia nyundo ya utosi kabisa, yani nimetoka mweupe kabisa.... Picha zote nimeshindwa kuzielewa...msaada tafadhari..... Ikiwezekana na msaada wa lugha....lugha ya malkia...
 
moyo ni ufahamu wa ndani.roho ni energy.kunasehemu bible inasema "msifanye mioyo yenu iwe migumu" kwa logic hiyo sio huu unaopga kifuani
 
Dah!!! Yani hapa ndo umeshindilia nyundo ya utosi kabisa, yani nimetoka mweupe kabisa.... Picha zote nimeshindwa kuzielewa...msaada tafadhari..... Ikiwezekana na msaada wa lugha....lugha ya malkia...
Usiufanye ufahamu wako kuwa mgumu ushughulishe ili maarifa yaongezeke tafuta kamusi uongeze msamiati
 
moyo ni ufahamu wa ndani.roho ni energy.kunasehemu bible inasema "msifanye mioyo yenu iwe migumu" kwa logic hiyo sio huu unaopga kifuani
Naweza kukubaliana nawe kwamba moyo uliomaanishwa kwenye Bible takatifu sio huu moyo wa nyama...japo pia kuna maneno yanasema Eee Mungu uniumbie moyo safi uifanye roho safi iliyopondeka na kuvunjika
 
[emoji102] [emoji15] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji23]

[emoji15]wine[emoji15]
Kaka hio mimi mpaka kupata stim ujue nimekunywa mtaji wa mtu hapo[emoji3]
Bia tu hadi opener inapinda ndio napata stimu
Ije kuwa wine[emoji19]
Ndio maana nkaamua kufunga mkataba Konyagi a.k.a Fire Water[emoji854]
 
Sorry ni muingiliano wa post hebu check heading
 
Daahh kaka mimwenyewe hata sijui nilichoandika,nilijua tunachart watsap grup[emoji15]bana
Daaahh naona maji yanataka kuzidi unga mkuu,ngoja nipumzike kidogo[emoji1324]‍♂️
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tatizo unawaza lile tunda kwenye ile post kule
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tatizo unawaza lile tunda kwenye ile post kule

[emoji1322]daaah doz imezidi kaka baaden[emoji1322][emoji1322]
 
Back
Top Bottom