MJUNKI
Member
- May 27, 2013
- 65
- 18
Binaadamu wenzangu roho mbaya haifai.
Tazama hiyo picha. Mtu anadiriki kuweka nondo za futi moja zenye ncha kali kwenye baraza ili watu wasikae. Me najua nondo kama hizi huwekwa juu na ukuta au kwenye geti.
Sasa huyu ndugu yetu ameweka nondo kwenye baraza, bila ya kufikiria kuna watoto wadogo ambao michezo ya kukimbizana ni kawaida kwao. Pia kuna wagonjwa wa kifafa ambao hudondoka muda wowote na popote.
Je, Serikali ya mtaa wameliona hili?