mputamaseko
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 1,401
- 949
Wanaume wa Dar haoNinawaoneaga sana huruma wanaume pale wanaposema 'ladies first'.
666
Wanaume wa Dar haoNinawaoneaga sana huruma wanaume pale wanaposema 'ladies first'.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenichekesha sana.hahahaaahhahah, ngoja nitoke nje ya mada kidogo!
Nyama sijui ina nini kwa kweli! kuna makabila huku kanda ya Ziwa wenyewe ikiwa mfano ni kwenye shereha au msiba NYAMA INAPIKWA NA WANAUME, hahahhahhahahahahh. acheni nyama iitwe nyama!!!!!