Roho inauma,ushauri tafadhali

Roho inauma,ushauri tafadhali

Wakuu, kwel leo nimechelewa kurud home,nafika tu mke wangu kavamia gari kavunja kioo cha mbele,je nimlipishe au nisamehe

Watoto wa siku izi sijui ubongo wao umetengenezwa na nini! yani na hili nalo ni la kuja JF kuuliza?
JF isingekuwepo je?
Ivi na wewe unaitwa baba?
 
Nipo late 20's mkuu nanusa thirty punde....
 
Mkuu dhumuni la kuja humu ni kupata mawazo toka kwa wakongwe na hii nadhani ndio dhumun la JF,wew unajitosheleza mkuu?
 
Wakuu, kwel leo nimechelewa kurud home,nafika tu mke wangu kavamia gari kavunja kioo cha mbele,je nimlipishe au nisamehe

Lete habari kiukamilifu mbona siku zote hajavunja?
Unataka ushauri wakati hatujui chochote au ndo zile za kutafuta reply za kutosha?
 
Muulize why amefanya hivo, huenda ni hasira tuu. then msamehe bure coz ni mkeo jifunze kusamehe 7X70
 
Wakuu, kwel leo nimechelewa kurud home,nafika tu mke wangu kavamia gari kavunja kioo cha mbele,je nimlipishe au nisamehe

cha kufanya kamnunulie keki mwambie unampenda sana na amekufurahisha kuvunja kioo. manake ndo kimekuchelewesha kurudi.
 
Back
Top Bottom