Roho inauma,ushauri tafadhali

Roho inauma,ushauri tafadhali

Sasa kuvunja kioo cha gari na kuchelewa vinauhusiano gani? Alipovunja ndio alipata mwafaka ulikua wapi au why umechelewa? Kumlipisha ni ngumu mkuu cha kufanya ni kukaa nae chini uongee nae aache ujinga
 
kwani ulirudi saa ngapi ndipo ikaonekana umechelewa tofaut na siku nyingine, na je hukumpa taarifa kabla kuwa utachelewa, upi wasiwasi wake kwako
 
teh teh teh,sawa mkuu ila usiombe yakukute!kagari kenyewe kamoja sasa kaharibu basi tu yaan
 
nilimpa taarifa mkuu,nimerud by saa nne ivi,nimeingia ndan nikasikia nje kishndo kutoka kioo chini na kashka nondo yaan
 
mkuu hii sio china,hukTZ ukmpga mwanamk akikushtak umekwisha,japo nimemweka kiporo kwan ipo siku naomba isifke maana....
 
Nililipa mkuu tena zote kwa mkupuo,sasa kagari kenyewe kamoja na kakarestisha in peace,hal yenyew hii duuh
 
Wakuu, kwel leo nimechelewa kurud home,nafika tu mke wangu kavamia gari kavunja kioo cha mbele,je nimlipishe au nisamehe

hasira zingine ni ujinga. Kaa kimya usimsemeshe mwambie neno moja tuu, " nataka urudishe kioo cha gari langu"

hivi sisi wanawake tuna hasira gani? Umevunja kioo afu unataka hela ya kwenda shoping? Ukumbuki ada ya watoto itatoka wap? Ni ujinga. Lowasa aapishwe elimu itolewe kuokoa jahazi
 
Rudisha kwao sitisha huduma ili utengeneze gari yako ukimaliza kamtonheze upya muanze maisha mapya
 
Mkuu ni kwel nimeomba ushauri,ila sasa unaonaj ungenishaur vizur na co namna hii,imagine ingekua wew nimekushaur hivi
 
keep on being blessed,kuna watu mnatoa ushaur vizur,mambo ya ndoa ni magumu jaman na yanahtaj busara ktk maamz haswa
 
Mweeh!!ila kuanzia leo matumiz ctoi,nadunduriza niweke kioo nirud roadini
 
Mmi hawez vunja, hapo ndo msara sasa, inawezekana umefanya kosa hata ww umeona kwamba umekosea ndi maana hujachukua hatua, maana hujatwambia sabab ya yeye kivunja kiooo
 
hebu andika vizuri kwanza.
amekosea angevunja meno yako ama jicho ungejua cha kufanya.
muda mwingine mna majibu ya ajabu sana.mke nae ana hasira za kizungu.

Hivi kweli angemtoboa jicho,,,,, angekimbilia JF? kuwa KIUME.......
 
Wewe ni mume wa mtu?
Mume wa mtu anauliza swali kama hili???????


Wakuu, kwel leo nimechelewa kurud home,nafika tu mke wangu kavamia gari kavunja kioo cha mbele,je nimlipishe au nisamehe
 
Back
Top Bottom