Roho inasita kumpatia mpenzi wangu Zawadi

estlyjonathan

Member
May 26, 2016
84
122
Habari zenu,

Kama kichwa cha habari kinavyosomeka ni miezi minne (4) sasa tangu tuanzishe mahusiano na huyu Kaka kuna zawadi nilinunua kumpatia tangu niinunue mpaka leo ninayo na sijampa na moyo wangu nikitaka kumpa hautaki kabisa tatizo sijui liko wapi?

ila huyu kaka kunipenda ananipenda kweli ni matendo yake anayonionyeshea na nilisha mwambia mara nyingi sana tuachane na simuhutaji tena lakini amekuwa kinganganizi, hamuwezi amini nimeamua kubadilisha line ili nisiwe na mawasiliano nae. ninakaa nae maeneo ya home yani mpaka najuta kwa nini imetokea hivi mpaka yeye mwenyewe ananiambia sijui kwa nini mtu unayempenda kweli anakuwa hakupendi mpaka nimemuonea huruma

ila niseme ukweli huyu kaka napenda kweli kumsumbua yani nicheze na moyo wake nimuuzi ndo huwa nasikia raha kinachonichekesha hata kosa likawa langu huwa anaomba msamaha muda mwingine mpaka namuonea huruma... nafanya hivyo kwa sababu siko na malengo nae na enjoy tu nikifanya hivyo
 
Kama bado haja kugegeda basi hyo ni trick anaifnya ili uingie king na kama alisha kugegeda basi hyo anakupenda na hataki kukupoteza mpe hyo zawadi yke akupe hela
 
Huyo jamaa hapo juu yupo sahihi

Kama kashakutafuna Basi anakupenda ila kama ni hivi sioni sababu ya wewe kumfanyia hvyo
Ila kama ni bado olee wako atafune mzigo majigambo yako yote kwisha
 
zamu yako ikifika nakwambia hamna rangi utaacha kuona

omba usikutane na mimi utakoma,nshakariri muandiko huo
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ


I miss you ๐Ÿ˜
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom