Roho inaniuma sana.

Tanganyika1

JF-Expert Member
May 10, 2011
422
86
Unajua tangu nlipokua mdogo nlikua nikisikia kuhusu madeni ya taifa eti budget haitoshi kwa kutegemea mapato ya ndani, mpaka leo hii bado, yaani bado hatuwezi kujitegemea. Hv sisi tuna nini jamani? Inauma sana.
 
Back
Top Bottom