MBWAMBO NICHOLAUS JR
JF-Expert Member
- Oct 27, 2018
- 423
- 434
Kwanza baada ya kuachana naye binti alikuwa na respond ganiNilishwahi kuachana na mwanamke kwa Case kama hii na baadae nilipata uhakika kuwa aliendwa Gongwa
Then nini kilichokufanya ujue
Kwanza baada ya kuachana naye binti alikuwa na respond ganiNilishwahi kuachana na mwanamke kwa Case kama hii na baadae nilipata uhakika kuwa aliendwa Gongwa
Utauaa wewe[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44]Tayari demu wako keshapigishwa round tatu za fasta, hapo full kulambishwa corn na pia anaweza kuwa katoa kinyeo.
Pole sana..
Dawa ya kumjua kama amechepuka ni kumchunia tuu week hii then utaona respond yake itakuaje....
Ukiona ana kahofu fulani hivi jua umeliwa ila Ukiona yupo normal jua kila kitu fresh
Hiyo dawa mkuu atakuwa muoga kuogopa na atakuwa anajihisiTatizo hata ukimchunia tayari keshamegwa.sio dawa hyo
Funguka bahariaAcha tuuu Story Ndefu mzee baba
chomoa betriHope mko poa
Nina mwanamke ambaye soon atakua mke Rasmi kusema ukweli nimetwmbea na wanawake wengi sana but huyu kwangu namuona ndo best yaani hapa mefika sisikii wala sielewi daaah maskini Patriot Man umepatikana baada ya miaka mingi kwenye safari ya mahusiano.. Huyu mwanamke ni mrefu ana Hips duuh size 50 kafungasha daaah.. alafu ni msukuma ni mzuri ndo mana nimekua kama zezeta kwake.
Sasa Upo hivi leo mempigia cm mchana tukaongea vizuri jioni nikampigia simu hakupokea badae akanitumia sms .Nikamuliza uko wapi akasema yuko Home nikamuuliza leo umetoka ofisini saa Ngapi?akanambia saa mbili kamili... alafu saa mbili na dakika 15 ananiambia eti yupo Home nikapata ukakasi nikamuambia mbona umefika mapema akasema amepanda piki piki na mimi nilimkataza kupanda piki piki
niakjifanya mjinga. nikakata cm
Baada ya mda akanitumia text "Mchumba nipigie leo nataka kulala mapema" hapo ni kama saa tatu kasoro na yeye huwa analala saa 5. Nikampigia cm nikamuuliza kulikoni mbona leo mapema akasema wana kikao cha familia wanaongea leo so akitoka hapo atakua kachoka ataenda kulala nikamuambia sawa tukapiga story kidogo ila sauti yake ilikua chini kidogo sio kama mwanzoni.. nikamuambia basi po usiku mwema ila kinyonge saana...
Daah mapka sasa hivi kila nikipiga simu yake haipataikani kabisa sijui kama leo nitapata usingizi kwa kweli
Nawaza mambo mengi ila naomba Mungu yasiwe kama ninavyoyawaza .
Nifarijini WADAU
Sasa leo mchana Tumeongea
Duh ww jamaa endelea tu kupenda ila vitabu vya dini vinasema kila kitu ufanye kwa kiasiHope mko poa