Roho inaniuma sana ila sina cha kufanya

The patriot man

JF-Expert Member
Aug 16, 2015
956
1,038
Hope mko poa

Nina mwanamke ambaye soon atakua mke Rasmi kusema ukweli nimetwmbea na wanawake wengi sana but huyu kwangu namuona ndo best yaani hapa mefika sisikii wala sielewi daaah maskini Patriot Man umepatikana baada ya miaka mingi kwenye safari ya mahusiano.. Huyu mwanamke ni mrefu ana Hips duuh size 50 kafungasha daaah.. alafu ni msukuma ni mzuri ndo mana nimekua kama zezeta kwake.

Sasa Upo hivi leo mempigia cm mchana tukaongea vizuri jioni nikampigia simu hakupokea badae akanitumia sms .Nikamuliza uko wapi akasema yuko Home nikamuuliza leo umetoka ofisini saa Ngapi?akanambia saa mbili kamili... alafu saa mbili na dakika 15 ananiambia eti yupo Home nikapata ukakasi nikamuambia mbona umefika mapema akasema amepanda piki piki na mimi nilimkataza kupanda piki piki
niakjifanya mjinga. nikakata cm
Baada ya mda akanitumia text "Mchumba nipigie leo nataka kulala mapema" hapo ni kama saa tatu kasoro na yeye huwa analala saa 5. Nikampigia cm nikamuuliza kulikoni mbona leo mapema akasema wana kikao cha familia wanaongea leo so akitoka hapo atakua kachoka ataenda kulala nikamuambia sawa tukapiga story kidogo ila sauti yake ilikua chini kidogo sio kama mwanzoni.. nikamuambia basi po usiku mwema ila kinyonge saana...
Daah mapka sasa hivi kila nikipiga simu yake haipataikani kabisa sijui kama leo nitapata usingizi kwa kweli
Nawaza mambo mengi ila naomba Mungu yasiwe kama ninavyoyawaza .

Nifarijini WADAU

Sasa leo mchana Tumeongea
 
Ukitaka kujua kuwa alilala na mtu Kesho angalia atakutafuta kuanzia saa ngapi..

Pili week hii wewe kuwa busy tuu utamuona
 
Dawa ya kumjua kama amechepuka ni kumchunia tuu week hii then utaona respond yake itakuaje....

Ukiona ana kahofu fulani hivi jua umeliwa ila Ukiona yupo normal jua kila kitu fresh
 
Tafuta na mnyonge nawe umegeee!
Haipunguzi maumivu ila inaongeza hadhi ya kiume!
 
Mmh kama unaweza kwenda kwao, damka asubuhi mapema,bana chocho,kama kalala na mtu ,asubuhi atatoka nae,na kama hajalala home hautamuona asubuhi akitokea home kwenda job.uwe na moyo lakini.
 
Tayari demu wako keshapigishwa round tatu za fasta, hapo full kulambishwa corn na pia anaweza kuwa katoa kinyeo.

Pole sana..
 
Ungekaa na akili yako ukafkiria cha kufanya kuliko kuja. Kuomba ushauri umuu

Mana utapanic tu buree
 
WTF!! Ndio unataka kuoa? Inaonekana bado una akili za kitoto toto sana, huyo mwanamke kuna siku anaweza akakucharaza makofi alafu ukajakufungua thread hapa kuomba ushauri.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom