Roho inaniuma jamani mpenzi wangu hajawahi kunipa zawadi mpaka mwaka unakaribia kuisha

Mboka man

JF-Expert Member
Aug 22, 2020
478
1,638
Jamani ndugu yenu roho inaniuma nipo ndani ya mahusiano lakini sijawahi kupewa zawadi na mpenzi wangu mwaka saivi umekaribia kuisha mpka unajiuliza ivi napedwa kweli lakini yaani birthday yangu imepita ameshidwa kuninunulia hata pipi ya 50 au bigijii ya 100 yaani staki kuamini mwaka unaisha hata zawadi sijawahi pewaa
 
Wewe ulishawahi kumnunulia kabla mwaka haujafika katikati ili nae akununulie mwaka ukiwa unaishilia!!!
 
Jamani ndugu yenu roho inaniuma nipo ndani ya mahusiano lakini sijawahi kupewa zawadi na mpenzi wangu mwaka saivi umekaribia kuisha mpka unajiuliza ivi napedwa kweli lakini .......

Yaani birthday yangu imepita ameshidwa kuninunulia hata pipi ya 50 au bigijii ya 100 yaani staki kuamini mwaka unaisha hata zawadi sijawahi pewaa
Ww ulishawai kumpa zawad ?
 
Kuna kitu kinaitwa lugha ya upendo(love lamguages). Ukiitambua huwezi teseka katika mambo haya.

Kila mtu ana lugha yake ya upendo kwa mwenzake mfano mwingine atakuonesha upendo kwa kukusifia na maneno mazuri( words of affirmation), mwingine atakupa zawadi(gifts), mwingine anapenda cuddling etc, mwingine atadhihirisha upendo wake kwa kukupikia, kukufulia n.k.

Mwisho, jaribu kumsoma anaoneshaje upendo kwake. Huyo wako ansonesha siyo gift oriented ila kuna kitu atakuwa anakufanyia kudhihirisha upendo sema tu hujamsoma.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom