Hata kama, sio kwa kurudia jero aseeTafadhali utuache,
Mwanaume asiyekupenda atakuonyesha actions tu.
Ili ujiongeze hakupendi anakutumia kama big GHata kama, sio kwa kurudia jero asee
Nimecheka kinyamaKama jina lako lilivo.. mama pitaa tuh
Syncerus cafer cafer
mama pita mama pita mama pita, ana hatari sana huyu mama pita brooo1. Unajuaje kama alikua hana hela...??
2. Au roho imekuuma kwakua tu alikutafuna na asubuhi akakuachia manyoya..!?
3. Hivi kweli kama huyo ni mpenzi wako, kwani ni lazima akulipe kila ukilala kwake....!?
4. Mbona sikunyingine haujawahi kuja kuyasema mazuri yake, ama hata kumuanzishia thread kila akikupa pesa...!?
5. Ulitaka akulipe, kwani wewe ni mfanya biashara ya mwili wako....!?
Aggghhhhh......
Nimejikuta napata maswali mengi kabla ya kukushauri aiseee.....
Anyway, huo ni mtazamo wangu tu. Naomba nisirushiwe mawe
Trust me huyu alikua anajua kabisa huyu jamaa alikua haumwi iyo alijua kabisa kua hiyo in kikiUlimuambia unamtegemea nauli?? Yaani ulienda kumuona mgonjwa na ulitegemea akupe nauli yeye? Ungemuambia sina nauli.
Huu utegemezi umezidi kipimo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mama Pita aliruka hapo hakusema what happened that night
Kweli mama Pita amepitamama pita mama pita mama pita, ana hatari sana huyu mama pita brooo
Madam nshalipia soda we kunywa tuUlimuambia unamtegemea nauli?? Yaani ulienda kumuona mgonjwa na ulitegemea akupe nauli yeye? Ungemuambia sina nauli.
Huu utegemezi umezidi kipimo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Soda weekend?Madam nshalipia soda we kunywa tu
Nimezingatia itafaki madam so unajua kesho ni jumatatuSoda weekend?
Hahaha... yan jamaa kakomoa mpaka jero et kairudiaHahahahahh
Nimecheka sana hapa kama mazuri eti
Polee asee
Basi sawaAhsante mkuu usijali.