Roho imeniuma sana

We nawe si ungemwambia huna nauli. Ila huyo mpenzi wako naye hadi 500 anairudia mmh.

Hivyo utaondokaje?
 
Hahahhhahhh we acha tu twinnie
Alafu cha ajabu story kaielezea kwa masikitiko ila nimejikuta nacheka sana
Yaani acha tu pacha.

Upande wa pili pacha nashangaa sana kila siku wanaume wanaponda kwamba wanawake tunapenda hela zao cha ajabu karibia wote wanamuonea huruma kwa kutokuachiwa hela.

Wanaume bana hawajuagi nini wanataka saa nyingine.
 
Pole sana kama ni kweli inakuwaje na wewe unaenda sehemu huna hata hela za dharura,
 
Reactions: BAK
Yaani acha tu pacha.

Upande wa pili pacha nashangaa sana kila siku wanaume wanaponda kwamba wanawake tunapenda hela zao cha ajabu karibia wote wanamuonea huruma kwa kutokuachiwa hela.

Wanaume bana hawajuagi nini wanataka saa nyingine.
Taratibu basi emmy.... Mnatujumuisha sote...
Wengine mnatuonea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…