Roho imeniuma sana

Naunga mkono hoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We ulifikiri umeenda Bank… Saccos… au vikoba.
Je kama nae hana hela jee…..??
Mie nkajua umepata MAJANGA MAKUBWAAA au ngoma banna

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe utaendaje kwa mtu bila akiba kwani yy alikwambia ukienda kwake atakupa nauli? Acheni ujinga wenu, jamaa kafanya vizuri sana ili siku nyingine ujifufunze.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani umenichekesha kwakweli......
Sema ukweli hakuna cha kuacha pochi wala nini ila hukuwa na ela zaidi ya nauli ya kukuleta kwake.
 
Sidhani kama kasema yeye ni tegemezi, ameongelea mazingira yaliyopelekea hilo limkute, hapa huyu mwanaume sio wa kutetewa bwana. Kwanza kadanganya anaumwa kumbe walaa haumwi. Kaombwa nauli hajajibu kama atatoa au laa.
Hivi mtu wa hivyo siku nyingine akikwambia anaumwa si unampa pole tu na kuendelea na shughuli zako!!

The thing here ni kuwa binti alimjali, kakurupuka akawahi, ila kumbe anawahi uongo ila kwa upande wa mwanaume inaonekani ni mtu asiemjali mwenzake. Hofu sana mwanaume ambae hakujali kipindi cha uchumba, jiandae hivyo hivyo hata kwenhe ndoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…