Rockstar Games Nawalaani Kwa Hili...!!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,080
21,554
Nimefatilia sana GTA V kabla hata hawatangaza date of release. Kwa kweli nimesikitishwa sana kuona kwamba PC Gamers itabidi tusubiri sana maana kwa sasa mpango uliopo ni kwa platforms za. Xbox na Playstation tu. Kuna jamaa alianzisha petition kuhusu hili ambapo kwa sasa imevuka signatures 350000 lakini still Rockstar won't comply with the needs of pc gamers. Guess we'll have to wait sana wakati wenzetu wanakaribia kumaliza mission ndio labda watufikirie na sisi.
 
Games kwaajili ya PC zinakuwa cracked kirahisi sana, akiipata mmoja basi watapata wengine copy za bure kama 1000 hivi
So wanachofanya ni kuhakikisha wanauza kipindi hiki bado ipo hot then Pc baadae sana wakisha make mkwanja tarijiwa
 
kweli ulichosema Mayu. mimi nijua siku zote hamna mk9, kuna siku mtu kaja kauliza hapa jukwani kuhusu kupata mk9 ya PC. ndo nikapiga google na kukuta mk9 ina zaidi ya miaka mitatu kwenye PS3 na Xbox. ndo ilikuwa mwanzo wangu kuhamia console gaming. hamia Xbox kaka, mi ninayo GTA V ya Xbox na hata huwa sichezi :heh:
 
Last edited by a moderator:

You can't be serious, GTA V?
 
Last edited by a moderator:
tena kaka donlucchese nilipata GTA V siku TANO kabla ya official release. nipo member kwa scene moja ya Xbox ambayo jamaa wanatoa games before zifike madukani. hapa nilipo nadownload FIFA 14, PES 14 mfukoni tangu juzi usiku. maana nipo kwenye net ya *ahem*, siwezi weka picha nikuonyeshe links, ila baadaye baadaye i'll be back
 
Mkuu umetisha sana, itabidi nijipange nikamate kitu cha 360.
 
kwani ni cha 360 kinauzwa sh ngap?
 
bora kaka umesema hivyo maana mi nimejaribu kuwashawishi ndugu zangu C6 na NingaR wavute chap, ila hawataki

kwani ni cha 360 kinauzwa sh ngap?

mkuu kitu 360 adimu sana hapa bongo, ila mi na Young Master tunafanya michakato ya kuwafanyia vijana iwe rahisi kuzipata aka resellers. watch this space..
 
Last edited by a moderator:
bora kaka umesema hivyo maana mi nimejaribu kuwashawishi ndugu zangu C6 na NingaR wavute chap, ila hawataki

mkuu kitu 360 adimu sana hapa bongo, ila mi na Young Master tunafanya michakato ya kuwafanyia vijana iwe rahisi kuzipata aka resellers. watch this space..

Michakato ikiwa kamili utushtue mkuu, dah najuta kukataa deal ya 360 kwa kuswap na laptop flan hivi na mpunga kidogo.
 
Last edited by a moderator:
1bn usd kwa siku 3 wameuza gtav. Ingetoka kwanza kwenye pc ungeskia mauzo ya gta5 yanasua sua. Maana hata wenye pc za ram 512 wangedownload lipo slow ila wanakazana tu wanacheza hvo hvo
 
haha. umeona eh. watu wa PC balaa. pirates wa hatari
 
yap nadhan shida kubwa wengi wetu tunasubir za cracked version sasa sijui kama kulalamika kwako ni kwamba unanunuaga au ndo kama sis tunaosubiri cracked... binafsi kwa sababu nasubrir cracked version its ok its a price i am willing to pay kusubiri!!! bado kuna game nyingi tu cracked sijui kama ushacheza zote na ni nzuri.... kama call of duty ww3.......
 
kweli ulichosema Mayu. mimi nijua siku zote hamna mk9, kuna siku mtu kaja kauliza hapa jukwani kuhusu kupata mk9 ya PC. ndo nikapiga google na kukuta mk9 ina zaidi ya miaka mitatu kwenye PS3 na Xbox. ndo ilikuwa mwanzo wangu kuhamia console gaming. hamia Xbox kaka, mi ninayo GTA V ya Xbox na hata huwa sichezi :heh:
duh mkuu umetisha yaani juzi tu imetoka leo umeipata tayari.,!!!
 
tena kaka donlucchese nilipata GTA V siku TANO kabla ya official release. nipo member kwa scene moja ya Xbox ambayo jamaa wanatoa games before zifike madukani. hapa nilipo nadownload FIFA 14, PES 14 mfukoni tangu juzi usiku. maana nipo kwenye net ya *ahem*, siwezi weka picha nikuonyeshe links, ila baadaye baadaye i'll be back
medal.jpg
nimekuzawadia hiyo kitu mkuu umetisha mbaya???
 
  • Thanks
Reactions: leh
bora kaka umesema hivyo maana mi nimejaribu kuwashawishi ndugu zangu C6 na NingaR wavute chap, ila hawataki

mkuu kitu 360 adimu sana hapa bongo, ila mi na Young Master tunafanya michakato ya kuwafanyia vijana iwe rahisi kuzipata aka resellers. watch this space..
mkuu unaweza kudowngrade cfw ya ps 3????? kutoka 3.7 kuileta 3.55,natanguliza shukrani,nina shida hiyo kitu sana.
 
I've been quenching my thirst by watching Walkthrough on YT!! The petition has 450k signatures already.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom