1. Ule mchirizi sio moshi bali ni artificial clouds (Mawingu yasio halisi) ambapo hutokana na Mvuke unaotoka kwenye exhaust unaganda unapokutana na baridi kali ya huko angani. In chemistry exothermic reaction ina-Generate Joto ambalo husababisha moja husababisha products(CO2 + H2O) za hiyo engine combustion kutoka zikiwa na joto sana, kiasi kwamba H2O hutoka kama mvuke (Vapour) na inapotoka katika engine Ghafla inagandishwa na atmosperic temperature. Hapo ndipo unaona mstari mweupe na baadae unapotea,.
Hali hii hutokea kawaida unapowasha Gari lako asubuhi, utaona maji maji yanatoka katika exhaust, lakini hutaona mawingu kwa sababu hali ya hewa katika sea level ni joto kulinganisha na huko angani.