Rocket Ya Uchina Ilikwenda Nje Ya Dunia Inatarajiwa Kuanguka Duniani Weekend Hii Baada Ya Kupata Hitilafu, Mahala Itakapo Anguka Haijulikani Bado.

Alexander The Great

JF-Expert Member
Aug 28, 2018
4,502
23,582
Habari Wana Jamvi,

Habari za hivi punde zinasema kwamba Rocket Ya Uchina (Space Rocket) iliopata hitilafu juu ya anga, nje ya anga ya dunia, inatarajiwa kuanguka katika dunia weekend hii.

Licha ya kutegemewa kuanguka kwa Rocket hio kubwa, haijulikani itaanguka wapi na muda gani katika dunia.

Taarifa kutoka katoka Jeshi la Anga la Marekani (US Air Millitary) ambalo linafuatilia kwa karibu takriban Rocket na Ndege za juu ya anga 27,000 (Human Made Rockets & Space Ships), zinazijumlisha ndege zilizo nje ya uongozi na kushindikana kuendeshwa na watengenezaji wake, zinasema Rocket Ya Uchina ambayo ina ukubwa wa Metre 150 na yenye uzito wa Tonne 20 (Tani 20) inatarajiwa kuanguka duniani muda wowote katika weekend hii.

Rocket hio inayoitwa Long March 5B, ambayo imeshindikana kuendeshwa (Out Of Control) na kitengo cha Anga cha Uchina inatarajiwa kuanguka na kuleta kishindo kikubwa sana, licha ya kutokujulikana itaanguka wapi na muda gani itakapo anguka.

Report zinasema Rocket hio ambayo ni kubwa sana inaanguka kwa kasi ya 18,000 Miles Per Hour (18,000 M/P) na kutarajiwa kuleta kishindo kikubwa itakapo angukia, licha ya sehemu na muda haujajulikana bado.

Tamko la Jeshi la Anga la Marekani na Pentagon wamesema;

"Kila mtu na kila taifa linaomba isianguke katika eneo lake, kwani italeta madhara makubwa sana. Siku inayotarajiwa kuingia duniani ni Tarehe 08 May."

Updated

Hatimae mabaki ya Rocket yameanguka katika bahari ya hindi, bila madhara yoyote.




  • CNN, US AIR MILLITARY.
    Screenshot_20210508-202859_Opera%20Mini.jpg
  • Bussiness Insider.

 
Mungu asaidie ikaanguke kwenye "KABURI LA MAREHEMU" chato, ikapige pini asije akafufuka au hata asije kuchomoa mkono, maana lile zege walioweka siliamini kabisa.
Umewahi kurogwa akili? Huo ndio mwisho wa kila mwanadamu nilimchukia pia japo nashea naye kabila na mahala alikotoka.

Roho hiyo ni ya kipepo iache
 
Umewahi kurogwa akili? Huo ndio mwisho wa kila mwanadamu nilimchukia pia japo nashea naye kabila na mahala alikotoka.

Roho hiyo ni ya kipepo iache
Lazima umtetee kwasababu woteni kabila moja (Sukuma Gang) halafu mnatoka kijiji kimoja.
 
Wameshindwa kuisambaratisha isiguse dunia
Hii haiingii akilini ila inaongeza maswali yasio na majibu
 
Wameshindwa kuisambaratisha isiguse dunia
Hii haiingii akilini ila inaongeza maswali yasio na majibu
Hawa USA na China wanategeana sana kwenye mambo ya muhimu kidunia, kama walivyotegeana kwenye Corona. Ipo siku hawa wataitia dunia kwenye mabalaa mengine kama la Covid-19.

Wanatunishiana misuli wao, tunaoumia duniani sisi tusiojiweza.
 
Kwa Post yako hii inaelekea hukuwahi kuelewa somo la Physics,geography.
hebu google kuhusu "g"
 
Kwa Post yako hii inaelekea hukuwahi kuelewa somo la Physics,geography.
hebu google kuhusu "g"
Wewe ni boya wa kiwango cha SGR, mimi ni mhitimu wa stashahada ya darasa la tatu (Failure) katika shule ya St. Kayumba.

Unaniletea upuuzi wako wa kusoma Physics? Ntaujua wapi?

Wewe kusoma hio Physics inatosha, kwa niaba ya wana JF. Hongera.
 
Back
Top Bottom