Shy land
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 6,245
- 2,857
Historia mpya yawekwa baada ya wanasayansi kutoka ulaya kutua kwenye kimondo kinachojulikana 67p/churyumov-gerasimenko.
baada ya safari ya miaka kumi katika anga za juu chombo cha anga za mbali cha ulaya hatimaye kimetua kwenye kimondo.
hicho ni kifaa cha kwanza kuwahi kutengenezwa na binadamu kutua kwenye kimondo.
source;bbc.