Wazungu sio binadamu? Mvunyenge weweWaliotengeneza ni binadamu au wazungu.
Nashangaa anavyowafananisha wazungu na binadamu!Waliotengeneza ni binadamu au wazungu.
Chief,ukiwaita wazungu binadamu basi sisi tutaitwa sokweWazungu sio binadamu? Mvunyenge wewe
Waliotengeneza ni binadamu au wazungu.
Wazungu sio binadamu? Mvunyenge wewe
Nashangaa anavyowafananisha wazungu na binadamu!
Science & technology haina cha mzungu wala mwafrika au mhindi au mchina. Na hizi robot utafiti wake unashirikisha mataifa mengi.Chief,ukiwaita wazungu binadamu basi sisi tutaitwa sokwe
Inabidi wao wapande juu kidogo,ili nasi tuchukue hiyo nafasi walioiacha ya ubinadamu
Ni kama madaraja tu
1.Mungu
2.Mzungu
3.Mwanadamu
4.Sokwe
Pole sana!Binadamu tuna roho mbaya sana yaani pamoja na huyo robot kutojua kuongea lakini bado wanamnyanyasa kwa kumsukuma sukuma
Nimeumia kidogo!
Asante[emoji24] [emoji24] [emoji24]Pole sana!
huyo jasusi kwenye avatar yako,alikufa kimateso sanaWazungu sio binadamu? Mvunyenge wewe
Hapana, alikua akionyesha uwezo wa robot kujitegemea mfano akianguka kwa ajali ya kawaidaPole sana!
Ni kawaida Robot anapotahiniwa anapewa vikwazo vya kila aina.Binadamu tuna roho mbaya sana yaani pamoja na huyo robot kutojua kuongea lakini bado wanamnyanyasa kwa kumsukuma sukuma
Nimeumia kidogo!
Hayo ni mateso huo ni unyanyasajiNi kawaida Robot anapotahiniwa anapewavikwazo vya kila aina
Kama huyu hapa..nae katengenezwa na Google-Boston Dynamics.
Si wangemuwekea matairi tu ...Hayo ni mateso huo ni unyanyasaji
Afadhali hata huyu kidogo
Nayo ni 'sayansi' ya aina yake..lakini cha ajabu haionekani mchana ..ni usiku tu wakati watu tumelala.Hata kama hujalala kama sio mchawi huoni kitu.Muda umefika tuachane na fisi wa usiku.Tufanye tafiti zinazoeleweka..kama hiviHuku tz bado tunatumiaga FISI kwa mambo flan yale