Robert Mugabe: UN Abused, UN Security Should Never Allow to be Abused!

Njilembera

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2008
Posts
1,496
Reaction score
610
Is there any World leader as daring as Mugabe to speak openly before a crowd that one knows very well is unfriendly to him and yet speak candidly of one's belief as Mugabe! I admire this old man! Listen to his speech to the UN in Sept 2012 calling the US all names you can imagine:
MICHUZI BLOG

Why did he pick on GADAF and SADAM Killings!?
 
Kwa nini msiandike kwa Kiswahili angalau watu wakajaribu kuelewa mnataka kuandika nini???
From semantic point of view...leave alone the grammatic point one your english is too broken to collect...over!!!!

Let's honour the swahili language. Thanks.
 
Wow, utadhani hiyo hotuba ya Mugabe nayo ilitolewa kwa kiswahili! Masikini, kalokolaVIII, amini usiamini kuna lugha ya dunia na kuna lugha ya kitaa! Hata hapa Afrika Mashariki tu Kiswahili hakipenyi na FYI hata huko Uchina, pamoja na idadi yao kukaribia bilioni moja na nusu au asilimia 20% ya dunia, lugha ya dunia inapewa heshima yake ! ...zaidi ya watu milioni kumi wanaweza kuongea Kiingereza safi huko China!

Tanzania ina watu milioni 45 sawa na asilimia 0.6 ya dunia...Kiingereza kinaongelewa na watu zaidi ya bilioni duniani hivyo kuifanya iwe kama Kiswahili cha dunia. This info is a fact whether you like it or not!
 
Last edited by a moderator:

You're right... the thing is I don't use Kiswahili in daily basis so I value it more than people who use it as their medium of communication. Ni kama afya... hautojua umuhimu wa kuwa na afya mpaka pale utakapougua!!!

Anyway I understand and appreciate your thoughts!!!

Kalokola vII, bila shaka kama umeisikiliza hotuba ya Mzee Mugabe, utakubaliana na mimi kwamba huyu sio mtu wa kawaida. Maaana pamoja na kujua kwake kwamba hapendwi kabisa na mataifa kama USA, yeye amehutubia UN na bila kumumunya maneno anamwambia Mmarekani kilichompeleka na kuwaondoa Gadafi na Sadam madarakani ni kwa vile tu alihitaji kuingiza mirija yake ya kunyonya nchi hizi. Ni Raisi gani Africa leo hii anaweza akawaeleza hawa usoni kwa namna ile. Ndio mambo ya kutafakari. Sisemi Mugabe amefanya vizuri au la, ila namwona shujaa anaposimamia kile anachokiamini. Sio mnafiki kwa nafsi yake.
 
Kwa nini msiandike kwa Kiswahili angalau watu wakajaribu kuelewa mnataka kuandika nini???
From semantic point of view...leave alone the grammatic point one your english is too broken to collect...over!!!!

Let's honour the swahili language. Thanks.

Ammallinggo ggaaki...? Ki-utaratibu ungeanza kwa kumshukuru mleta mada kwa kuweka hoja hii jamvini, baada ya kumshukuru, ujadili hoja yenyewe ama kwa kuikubali au kwa kuipinga. Na mwishoni ungetoa ushauri wako ambao nimeunukuu hapo juu.

Mkuu nakuhakikishia kama ungefuata utaratibu niliokuelekeza....nina uhakika wa asilimia mia moja kuwa kila ambaye angesoma post yako angekuona mstaarabu.
 
Back
Top Bottom