Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,175
- 143,960
Mzee Taifa lake masikini amekalia ubabe wa mdomoni tu kama muimba taarabu ana reject white people wakati ndo wanaendesha ulimwengu hata Haimsaidi badala yake inamkandamiza tuHuyu wakutumia drone tu mpaka kwenye kibanda chake[emoji3]
1) Ina maana Robert Mugabe naye ni gay?
2) Kuna audio au video ya hicho anachodaiwa kukisema?
3) Kwenye mitandao yeyote yule anaweza kutengengeza nukuu yoyote ile, hivyo, mimi binafsi siamini kuwa kasema hivyo mpaka nitakaposikia yeye mwenyewe akisema hivyo au nitakapoona yeye anasema hivyo.
Wale ni watani mke wa obama kwao zimbabwe so wanajuana si kunasiku mugabe alikua anadai mali kwa obama kwajili ya mke wa obama
Mzee Taifa lake masikini amekalia ubabe wa mdomoni tu kama muimba taarabu ana reject white people wakati ndo wanaendesha ulimwengu hata Haimsaidi badala yake inamkandamiza tuHuyu wakutumia drone tu mpaka kwenye kibanda chake[emoji3]
Hata ww ni mshabiki wa jinsia moja duuh
kwahiyo wewe unasapoti huo ushetani wa kishoga ambao akina Obama wanaushabikia! khe!
anaongea hivyo kumbeza Obama, kwakuwa Mugabe huwa anapinga waziwazi mapenzi ya jinsia moja. Alishawahi kutamka kuwa ataruhusu tu ushoga nchini kwake ikiwa waziri mkuu wa UK bw.Cameroon, atakubali kuolewa naye na kumzalia mtoto. Akasema atatuma posa kwa familia ya Cameroon..... ni katika kuwabeza wazungu ktk huo ujinga
Hata ukikataa je una nguvu ya kupinga?? je mambo haya hayafanyiki ktk jamii zetu? Je anal sex ambayo kwa sasa ina kidhiri na kushamiri kwa kasi ya ajabu imezuilika? nadhani hii ni Free universe kama mtu havunji sheria haina haja kumpangia aishi vipi
Sasa kama wanakuongoza na kukupangia uishi vp yani wanapanga bajeti na misaada kibao mnapokea (marekani) ww tz utaweza kweli kupinga?? tuendelee kukataa midomoni but time will tell
Kingine am not a homesexual mimi ni heterosexual so siko attracted na people wa same gender na mimi Hio ndo sexuality Yangu we unadhani kuwa homo au biosexual nikupenda unauelewa na masuala ya hormone?!?
Kuna audio au video ya yeye akiongea hivyo?
hakuna cha hormone wala nini, ni mapepo tu! Ina maana Mungu ni kigeugeu, yaan katika kukuumba akuzidishie hormone za kike wakati wewe ni mwanaume halafu hapohapo aseme ushoga ni dhambi na laana????? basi isingekuwa dhambi.
labda unambie kwakuwa shetani pia ana uwezo, labda yeye ndo aziongeze ndani ya mtu ili awe shoga....lakini for sure Mungu na utakatifu wake hawezi kumtega mwanadamu, kwa kumuumba nazo nyingi ili awe gay then amuhukumu jehanam
yaan kisa jambo linafanyika kwenye jamii zetu kama ni baya ndo lisipingwe?? ni mangapi mabaya yanafanyika toka enzi na tumeshindwa kuyazuia kabisa, lakini tunaendelea kuyapinga? na tutaendelea kuyapinga? mf issue za drugs? na kuhusu ushoga ndo umehalalishwa huko marekani na baadhi ya nchi za ulaya bt sehemu zingn km Urusi, nchi nyingi za Asia, Africa ni illegal.
Mungu mwenyewe ni complex theory usiingize apa maana nikikuliza dhumuni la kumuumba nguruwe hali ya kuwa anadai ni haramu utajibu? kwann wengine wanakula hiki wengine hawali hiki usingize mambo ya mungu dhaifu hapa tujadili bila imani tutaenda sawa
Mkuu madawa yanatoa effect hatarishi na kuzoletesha nguvu kazi ya taifa ambalo ni vijana je ushoga pia uko ivo?