Robert Mugabe Rais Mtemi wa Zimbabwe

Robert Mugabe Rais Mtemi wa Zimbabwe

Hakika mkuu hongera sana kwa kutoa maneno kuntu yenye ujumbe murua
Hiyo inatoa ujumbe mmoja tu kuwa madaraka ni dhamana na tunapaswa kuyatumia vyema madaraka tunayopewa.

Ni makosa makubwa iwapo tutatumia vibaya madaraka tuliyonayo, kwa kuwatesa wapinzani wetu, kwa kuwaweka ndani kwa visa tu na visasi

Cha muhumu ni kuwa unapokuwa na madaraka hayo hupaswi kuyatumia vibaya kwa kiwakomos watu, kutumia nguvu zako za kimlaka kwa kuwaweka wapinzani wako ndani

Kwa kuwa siku hazigandi, kwa kuwa huwezi jua kuwa mtu unayemtesa Leo, Mungu anaweza kumpa Neema na akamuinua, akawa mtu mzito sana kesho na wewe ukataka msaada wake!
 
Anaonekana bado mbishi sana hasa kwenye suala la kula!
 
Back
Top Bottom