ila huyu mjaluo si wa kubeza....ni jasusi dizaini ya putin!
Kwa Tanzania Magufuli siyo chaguo la watz.amepatia
Naomba uelezee kweli wa hili!Kwa Tanzania sawa, lakini naye aachie ngazi kikongwe huyu
Wazi?Hahahahahahaa hili la Tanzania liko wazi.... ila pia nadhani hawa wawili wana ugomvi wao binafsi. Labda Raila anataka ampore Babu demu wake
Mapenzi yako usiamishie kwa watu wengine, wewe sio msemaji wa Watanzania una hakika na kura iliyopigwa na kila mtu?Kwa Tanzania Magufuli siyo chaguo la watz.amepatia
ila huyu mjaluo si wa kubeza....ni jasusi dizaini ya putin!
huyu mzee amezeeka vibaya,yaani rais wa tz awekwe madarakani na raila ondinga?

ww sema sio chaguo lako kuna wenzako wa chadema kama lowasa,mbowe na akina mdee hao wote walimpigia kura magufuli. Usizisemee nafsi za wenzako