Vitalis Konga
Senior Member
- Sep 22, 2018
- 127
- 231
Neno moja kwa legendary wetu
Robert Gabriel Mugabe
Robert Gabriel Mugabe
Mastress ya kuporomoka hayo juzi tu alikuwa anatembea now on machela
Bata hadi uzeeni
Wakati si milele... Umri sio miaka...!!!The then Executive President of Zimbabwe.
Yule hazeekiMwambien magundu kuna siku nae atazeeka
Comrade
Kweli uzee na udhaifu ni hatari, hapo hakuna tena mechi za kukimbiza kuku.....
Unawaza mitiano tuu😃😃😃
Heheheee napenda sana hiyo menu aiseeh.
Haya mnyamwezi wa mboka manyema... kwa Isike 😎😎 najua mnapenda sana chakula cha mitiano, na uzuri mnajua kuki andaaa
He's 95 years old, Mungu amembariki kuishi maisha marefu sana. No stress hapo.Mastress ya kuporomoka hayo juzi tu alikuwa anatembea now on machela