Nimeshangaa hadi wafuasi wa Republican kuvamia maeneo ya BungeNakala moja imfikie tundu antipass lissu
Ni mambo ya ajabu kweli, mkuuBalozi wa Tanzania nchini Marekani hajatoa tamko lolote?
Uko sahihi mkuu, halafu alikuwa anamshinikiza kweli makamu wake wa raisi kwenye show hii ya mwishoMarekani wananyooshwa na nguvu ya uimara wa taasisi zao tofauti na hapo tramp asingeachia madaraka
Nakala moja imfikie tundu antipass lissu
Mkuu sisi tulijitoa kwenye ile mahakama ya Afrika inayojishughulisha na masuala ya haki ya za binadamu. ICC bado tupo labda tuanze mchakato leo wa kujitoa huko.Na sisi tulijitoa baada ya kuona anayejiita baba wa democracy amejitoa, hivyo na sisi sio wanachama wa hiyo ICC, UPOOO!!
Mbingu gani ina haki? Hebu tuondolee ugaidi wako humuDuniani hakuna haki , wanaopigania haki duniani huishia kuumia wao wenyewe , na uzuri Mungu alishaliweka wazi ,tatizo watu tuna vichwa vigumu , alishasema Kama unataka haki fight kwenda mbinguni ,duniani huku ni sarakasi mwanzo mwisho na hyo ipo approved na mbingu
Kama huijui pambania haki sasa hapa duniani ,tusichoshaneMbingu gani ina haki? Hebu tuondolee ugaidi wako humu