Karibu Dubai.. karibuni sana...jiji la watu aina zote... MULTInationals... karibuni tena..
ha ha ha haahaw!! kweli maana mkorofi huyu,,,,Wee tukaribishe tu tusijekujazana huko halafu shurba wifi akapika nusu sufuria
Hai? Kweli mimi ni mgeni wa nchi. Hiyo Hai inayofanana hivyo sijawahi kufika. Hivi Hai si ni pale Bomang'ombe?Haina tofauti mji wa Hai moshi.
Hata chake chake pemba iko hivyoHai? Kweli mimi ni mgeni wa nchi. Hiyo Hai inayofanana hivyo sijawahi kufika. Hivi Hai si ni pale Bomang'ombe?
Wataanza lini kujenga Stand ya Mabasi?Musijali sana kule Bukoba kutakuwa zaidi hapo,sasa hivi wapo kwenye kuchangishana kwanza.
Hivo vyote vinaenda sambamba.Wataanza lini kujenga Stand ya Mabasi?