Roads in Dubai

Roads in Dubai

Akimaliza Chato ataanza Dar.
 
Kwahiyo ww uliwahi ona wapi barabara ikajengwa kwa zege? Hizo tairi una hela za kununu kila wakati?
Mbona unakomalia kwenye tairi tu wakati nimesema zege ni ghali zaidi ya lami?na imara zaidi ya lami.Haitumiki sababu sio the best next alternative,kama tairi zingeundwa zinazohimili zege.

Nenda kitonga ukaone kama mlimani imetitia lakini hapo chini lami imetitia.
 
Hawa wamefanikiwa sana katika kuibadilisha nchi yao kwa kutumia rasilimali yao kubwa ya mafuta. UAE ya 1990 ni tofauti sana na UAE ya 2016 na bado inasonga mbele na kuwavutia watu mbali mbali duniani kufanya kazi/kuishi UAE.

Wanajitambua.. kuwa uongozi ni dhamana.
 
..Ila kwetu na hawa wahuni, wezi, majangili, wakwapuzi, mafisadi, waongo, wapokea rushwa, wasaini mikataba ambayo haina maslahi kwa Watanzania n.k. pamoja na kuwa na rasilimali chungu nzima kushinda hata UAE, almasi, dhahabu, Tanzanite, gesi, uranium, mbuga za wanyama za kuvutia kuliko zozote duniani, ardhi yenye rutuba kubwa sana wanajitajirisha wao, familia zao na maswahiba wao wa karibu tu kwa njia za haramu ikiwemo kukwepa kulipa kodi na ahadi hewa/uchwara chungu nzima miaka nenda miaka rudi lakini nchi ikibaki nyuma kimaendeleo kila mwaka. Malalamiko kila mwaka ni yale yale shida ya maji nchi nzima, umeme wa shida nchi nzima, barabara za hovyo, usafiri wa hovyo, matibabu ya hovyo, elimu ya hovyo, drainage system ya hovyo, shule hazina walimu, madawati, vitabu, vyumba vya madarasa na huku kila mwaka wanapandisha kodi kwa viwango vya juu kabisa.

Wanajitambua.. kuwa uongozi ni dhamana.
 
Wakina nshomile wapo katika mchakato wa kuifanya Bukoba iwe kama Dubai ...... kwa mapato yatokanayo na senene...
 
Mbona unakomalia kwenye tairi tu wakati nimesema zege ni ghali zaidi ya lami?na imara zaidi ya lami.Haitumiki sababu sio the best next alternative,kama tairi zingeundwa zinazohimili zege.

Nenda kitonga ukaone kama mlimani imetitia lakini hapo chini lami imetitia.
Acha habari zako ww!! Huwezi jenga barabara kwa zenge!!

Hata Mwz kuna barabara za Mawe, ni kwasababu maalum (miteremko mikali/mipando mikali na milimani) na urefu wa barabara hakuna wa zaidi ya 2KM. Sasa hiyo ya kusema eti zege ni ghali sijui hiyo sayansi umetoa wapi? Kuna small particles za zege ni ghali zaidi ya zege nene/kubwa, mf zege ndogo/size ya lami inaweza uzwa Tshs 360,000 -500,000 per vehicle lakini zege za Nyanza road/kubwa zinaweza kuwa zinauzwa Tshs 180,000-200,000 per vehicle. Sasa sijui huo ughali wa zege kwa lami umeutoa wapi wakati grinding machines za lami zinafanya kazi za ziada kwenye Lami kuliko kwenye Zege? Bei tunazifahamu!!
Au unadhani hii nayo ni nadharia?
 
Hawa wamefanikiwa sana katika kuibadilisha nchi yao kwa kutumia rasilimali yao kubwa ya mafuta. UAE ya 1990 ni tofauti sana na UAE ya 2016 na bado inasonga mbele na kuwavutia watu mbali mbali duniani kufanya kazi/kuishi UAE.

Halafu huko hakuna maswala ya uchaguzi.
Monarchy system of leadership.
 
Back
Top Bottom