Road licence Kufutwa


umesomeka ngoja tusubirie tuone penye ukweli kuhusu hilo
 

Nguza na mwanae wamekula mvua za maisha halafu watu hawamjui shori aliyesababisha hilo zali; haya mambo ya ajabu kabisa!! Mbona Vicky kamata anajulikana huyu mwingine iweje asijulikane na watu wameumia vibaya sana?
 
manake the more you buy fuel the more you travel on the road therefore MORE TAX! this is clever!

Hahaha haa! waondoe pia na driving licence fee iwekwe kwenye mafuta.
 

kiongozi ndo ile road license IPO au haipo. Budget ndo iyo
 
Kwenye mafuta nani atakata hizo hela?
Muuza mafuta kwenye pump station ?
Muagizaji?
Au msambazaji?
Hii sasa ni ulaji kwa jamaa wa mafuta na kugawana baadae....
 
Wakuu nimeskia tetesi kuwa Road liscence za magari kufutwa kwanzia mwezi ujao na zitakua included kwenye fuel. Je hizi tetesu ni za kweli?
 
Kuna thread ya siku za nyuma inaongelea hii kitu. Ila mwaka wa fedha umeanza July 1st, sasa habari za mwezi wa nane sina uhakika kama itakuwa kweli. Well, may be manake naona hata bei ya mafuta inazidi kupaa!!!!
 
Wakuu nimeskia tetesi kuwa Road liscence za magari kufutwa kwanzia mwezi ujao na zitakua included kwenye fuel. Je hizi tetesu ni za kweli?

Mimi naona itakuwa vzr maana kuna wkt unaweza kupark gari mwaka mzima bila kuitumia inakubidi ulipe na adhabu juu,lkn kwa mtindo huu utalipaia pale unapopata huduma.


Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Kwenye mafuta nani atakata hizo hela?
Muuza mafuta kwenye pump station ?
Muagizaji?
Au msambazaji?
Hii sasa ni ulaji kwa jamaa wa mafuta na kugawana baadae....

muagizaji wa mafuta atailipa chake serikali wakati anaingiza mzigo, wewe utapigwa kwenye bei ya mafuta, ni boraingebaki vilevile kulipia one time, bei za mafuta sasa hivi zinakimbia kila kukicha ikiongezwa na hiyo si tutakoma!
 
namkumbuka zakia aliipandisha hiyo kitu hadi nikawa napiga ramli kuwakwepa majembe auction mart...
 
cha muhimu wafutilie mbali vat maana tunalipa kwenyemafuta, ibaki import duty tu, hapo watanikosha, tena magari kuingiza maximum age iwe miaka mitano
 
Me kigarichangu tangu mwaka juzi imeisha me nadunda tu Afadhari tumepona na iwekwweli jamani.
 
Wazo hili zuri sana, kwa sababu litaondoa uonevu mkubwa uliyokuwepo, wa kutoza gari ambalo lilikuwa halitembei kwa mwaka mzima.
Pili litafufua magari mengi yaliyokuwa yametelekezwa kwa sababu ya ada hii kubwa sana, ukikosa kulipia mwaka mmoja tu basi gari yako umeshaitupa na huwezi kuiuza tena.

Lakini muhimu ni kule kuachana au kupunguza sababu za kukimbizana na polisi amabako pia kunazalisha rushwa ndogo ndogo ambayo ndiyo inakera sana.

Na mwisho serikali itakusanya zaidi ya wanavyokusanya sasa kwa kutoza ada hiyo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…