watu wengine waoga sana,siwezi nikapanda daladala kwa ajili ya hiyoYaani road licence imaeisha May 2014 unaogopa kuendesha? Aissee wewe ni mzalendo. Yaani kama ni mie hilo naliendesha mbele ya mkuu wa ma trafiki duniani na hanikamati.
Yaani road licence imaeisha May 2014 unaogopa kuendesha? Aissee wewe ni mzalendo. Yaani kama ni mie hilo naliendesha mbele ya mkuu wa ma trafiki duniani na hanikamati.
watu wengine waoga sana,siwezi nikapanda daladala kwa ajili ya hiyo
kwa nini hatakukamata nijuze na mimi nijue
Kuna rafiki yangu mmoja alishasema hakuna kiumbe alizaliwa kuwa criminal,serikali inafanya watu wawe criminalsNimemshangaa sana, mie fees hizi nalipa nikiamua.
Kuvunja sheria ni hobby na haifundishiki, kuna raha yake. Hasa kama kosa lenyewe dogo kama hili.
Na ukitaka kujipima, jiulize, shuleni ulikuwa kati ya watiifu au watukutu? Kama ni mtukutu, ulikuwa mtukutu kwa hiari au kwa kulazimishwa na mazingira. Kama ulikuwa mtukutu wa hiari, trafiki hakushiki kwa road licence tu.