Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,318
- 101,028
Subiri wazee wa ndumu waingie maana mie nashangaa...Karatasi laini sana..hii na ina maandishi haya
....No 1 in Africa
....Art of Rolling
....Roll your Own...
Najua zinalipiwa kodi wakati wa kuingia Nchini.
Je zinaingizwa kwa matumizi yepi?.....mbona zinatumika kusokotea misokoto ya Bangi?
au ina Matumizi Mengine hii Rizzla...?
Subiri wazee wa ndumu waingie maana mie nashangaa...[/QUOTE]
unashangaa nini?
inaingizwaaa kwa matumizii ya kunyongeaaa tumbaku,ilaaa wanajuaa yanavutiwaa bangeee.....
ina maana bangi inalipa kodi kupitia Rizzla....??
bebi...hizi si zinatumika kuvuta tumbaku...au wewe unataka kusema ni za nini....?
bebi..unajua hizi zinanichanganya sana..umeona post za jamaa hapo?..na kwann polisi akikuta nazo wanakukamata?
mbona zipo dukani na zinauzwa tu hata jana nimenunua.....?
najua ziko madukani...najiuliza wanajua zinatumika katika nini?..na wewe ulinunua ulikua unazitumia wapi?
bebii...si unajua huku Yaeda unatoa rizzla unapewa ng'ombe.....au wewe mgeni hapa Kapernaum....
Karatasi laini sana..hii na ina maandishi haya
....No 1 in Africa
....Art of Rolling
....Roll your Own...
Najua zinalipiwa kodi wakati wa kuingia Nchini.
Je zinaingizwa kwa matumizi yepi?.....mbona zinatumika kusokotea misokoto ya Bangi?
au ina Matumizi Mengine hii Rizzla...?
mh..rizzla kwa Ng'ombe....sio ulikuwa unatoa kitu..ujichome?..bebi kumbe unajichoma eeh
no.....siungui...ni bata tredi....toa Rizzla pata ng'ombe.....hiyo ndio kuungua sasa.....?
btw.....ndumu sio noma....noma ni sisi tunaipiga huku tumekula ugali dagaa...au viazi vya kuchemsha....ha ha ha ha....ndumu is there to stay....