Riziwani Kikwete pole sana

wewe sio muwakilishi wa waisilamu wote bwana..na usitumie nafsi yako kuwakilisha mawazo ya waislam...waislam sasa hivi wengi wanaanza pata uelewa...usipotoshe uma pliz,Stay put

Mkuu unaposema waislam wanaanza kupata uelewa hii ni dharau ingine mtu akikusahisha ndio ataonekana mdini mie napenda kukwambia tu waislam ni waelewa na wanajitambua...tukosoane kwa hoja sio kwa imani za dini zetu hakuna ambaye anayejua ni mbora mbele ya mungu...dharau na kejeli za kidini ndio zinatufanya tuwe mbali mbali hatuwezi kuwa pamoja kuibana serikali kwenye mambo yetu ya msingi na huu ndio mtaji mkubwa wa CCM kututawala.

Kuna kejeli humu JF zilikuwepo kipindi cha nyuma tunashukuru Invisible kwa kupambana kulikuwa na ID's kazi yao kuukejeli uslam na waislam halafu hizo hizo ID's unazikuta zinaitetea Chadema tumeitwa majina mengi sana mpaka mtu unapata hasira unatoa lugha chafu unaishia kupigwa ban...lakini inatia moyo hizo ID's nyingi zimepigwa life ban.
 

Atakoma!
 
Ndio maana yake!.
 
kaka siera nakuunga mkono,cdm wabaguzi daily wanawaponda waislam,...watu wa ubwabwa, waswahili...wacha wakae na uzungu wao nasi tukae na uswahili wetu na kura wasituombe!! Tunaamini sisi ni umma bora, bila kura zetu ikulu watapasikia kama kawaida yao, tushikamane tusifungamane na adui yeyote wa uislam kama hawa.
 
kaka siera nakuunga mkono,cdm wabaguzi daily wanawaponda waislam,...watu wa ubwabwa, waswahili...wacha wakae na uzungu wao nasi tukae na uswahili wetu na kura wasituombe!! Tunaamini sisi ni umma bora, bila kura zetu ikulu watapasikia kama kawaida yao, tushikamane tusifungamane na adui yeyote wa  uislam kama hawa.
 

Umenena vema ila kuna ukweli na mantiki kwa mtoa hoja...
 
Inaonekana wewe mdini SANA nauna tuhaibisha sisi Waislam kwa point zako zakipuuzi. Wanachosema nikweli sisi huwatunakurupuka nakuweka udini mbili. Ukichukulia huko Zanzibar mambo tunayofanya siyo kabisa. Inaonekana wewe hujasoma. Mtu makini hawezi kuongelea swala la udini hata kama utaona wengine wakifanya hivyo. Piga vita udini kwakuto ongelea swala la udini au ukabila. Sote ni ndugu naniwatoto Wa baba mmoja.
 
Bwana Songoro na wewe tumia akili yako kwa nini muheshiwa raisi na nimwisilamu mwenzetu aliamuru UAMSHO wapigwe na viongozi wajisalimishe. Think then nipejibu.
 
Songoro
Acha kubagua na kudhalilisha waafrika wenzio huku ukijifaragua kwa dini za makombo?

Mkuu, huko zinakotoka dini zote hizi (ukristo na uislam) yaani Israeli na Arabuni-Yemen nasikia kinawaka kila siku. dini hizi zinafaa nini kama hazileti amani na upendo zinazohubiri? Afu avatar yako imeandikwa "Banned"! Kulikoni?
 

ukweli and CDM must consider this fact!!
 
mkuu umeshuka kwenye ile ndege nyeupe? teh teh teh!
haya bana, ila kauli zako zina utata sana aisee. au ndo kujihami kwenyewe huko na utawala mpya?

Mgosi umemuona ehe maana haeleweki !
 
huyu bwana mdogo anacheza na tanzania na watanzana najua kwa sasa ana ulinz io siku watanzania waamhukumu kwa mema na mabaya aliyoyafanya simwombei mabaya but e need to know watanzania wanamwona asijiponze kwa nafasi ya mzee wa kaya
 
Mie nime'earmark' ntakachochukua kwa Riz'1' pale Kikwete's CCMitakapoondoka.
 


Navyofahamu kazi yako ni kutetea system, vipi siku hizi? Au uko kwenye mgomo?kazi unayofanya ni ngumu sana kupambana na umma bila mapumziko, unastahili kulipwa vizuri na mafao mengine likizo n.k andamana watu wakusaidie, zaidi ya hapo itakula kwako, shauri yako!
 


WAZEE, mbona Dini, Kanda, kabila, WHY ? Najaribu kusoma, nashindwa kupata connection. Ebu nijuzeni, kipi chama cha siasa ni cha waislam ? na kipi ni cha wakristo ? Kipi ni cha wahaya, wachaga, wandengereko, na kipi ni cha wangoni, wahehe ? kipi ni cha watu wa kusini, kaskazini, mashariki au magharibi ? toka nianze kupata ufahamu juu ya siasa za tanzania ni mwaka 2010 tu nimeanza kusikia maneno ya ukabila, ukanda, udini, yakiasisiwa na Kiongozi mkuu wa nchi hii, kisa tu eti kura zilipungua. Kama hatujajitambua, wananchi pia tumeanza kuingia kwenye mkumbo huu, ambao kwa maoni yangu, MKUMBO HUO SIO SALAMA KWETU.
 
Acha kuleta mambo yako ya kujiona cdm ni chama cha wakristo tu umeanza kunitoa hata mimi kwenye cdm mana naona unaongea kama vile cdm ni chama cha kanisa waislam hawatakiwi, rekebisha lugha yako inaonekana we ni ccm umetumwa kututenga! kicha chako hakiko sawa.
 

Sisi wote ni watz. Tusiingize maswala ya dini yatatugawa. Ila kinachosikitisha chama tawala, kuwagawa watu kwa misingi ya dini.....Comment zote zinazowekwa huku kuhusu dini ni za uchonganishi...Unaposema chama cha cdm ni cha wakristo, kwa hiyo wakristo ni wabaya?? kwani ccm hakuna wakristo??? Ina maana ccm inachukia wakristo??? Vyama vyote vina dini zote....sasa kwa nini kutumia dini....tuyaache hayo. mimi mkristo, mtoto wa kaka yangu muislam... kwa hiyo nimchukie??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…