Muke Ya Muzungu
JF-Expert Member
- Jun 17, 2009
- 3,444
- 265
Nyie si misukule mtalalamika nini na mmeshakuwa brain washed.
Kuna baadhi ya Pro-Chadema JF sio watu makini ni wa kuwasamehe mungu kawapa vichwa kwa ajili ya kufikiri wao wanafugia nywele...
Hapo ndio anapotutatiza mkuu Pasco maana haeleweki yuko kundi gani !
Nyie si misukule mtalalamika nini na mmeshakuwa brain washed.
Kama siasa zenyewe ndizo hizi za kutishiana, angalieni msije kuwaponza hao mnaowategemea kuchukua nchi 2015, wazee wa kazi wasije wakawapotezea into thin air kabla ya 2015!. Si niliwawekea hapa kisio la chini la utawala wa CCM kwa nchi hii ni miaka 100!, hansini iliyomalizi na sasa bado 50 mingine!. Kumbukeni hamwezi kugombea kisu, mwenzako ameshika kwenye mpini, kabla kisu hujakishika, unaana kumtishia atakiona cha mtema kuni!, unajua anaweza kukasirika na kuamua sio tuu kukushikisha kwenye makali, bali kukukata nacho!.
Hakuna ubishi Chadema ndicho chama chenye matumaini makubwa sana kwa sasa, lakini watakaokiponza Chadema, ni watu wenye mawazo kama haya!, mtanisamehe kusema watu wenye mawazo kama haya, hawana akili timamu japo sio lazima mpaka waokote makopo!, hawa ndio ma hate preachers ambao Chadema inapaswa kuwashughulikia kwanza wasije wakakitibulia ushindi laini wanao uotea!.
99% ya Muslim they won't vote for CDM 2015 so jifuraisheni tu hapa kilasiku kuwatusi hapa mara mmekaririshwa madrasa mara kaziyenu kula ubwabwa mara hamjasoma so u think they will go and vote for u people !? Kama mnawaona WAislam wajinga bs ujingawao mtauwona vizuri 2015 ."....I'm Muslim and I'm proud 2 be Muslim siwezi kwenda kumpigia kura mtu anaenikashifu Kila siku .naukifuatilia kwa undani watu wote wanao wakashifu WAislam ni wafuasi wa CDM so inaniwia vigumu kuelewa malengo Yao ....wakati Niko chuo nilikua mfuasi mzuri wa CDM Kama miaka miwili nyuma .Baada ya kuijua JF nikawajua vizuri wafuasi wa CDM Wana tapishwa na WAislam nimepoteza hamnacho
Hatujafikia hapo mkuu. Lazima tuhubiri siasa zisizo za visasi na tulenge kupata 'smooth transition' kutoka kwa JK kwenda kwa mwingine. Kama alitoa maoni yake ktk mwelekeo huo, heshimu kuwa ni maoni yake. Kubwa ni 'kumthibitishia kuwa inawezekana mkuu wa nchi akatoka kaskazini'. Context pia ni muhimu: kama wakati ule mgombea mwenye nguvu alikuwa akitokea Kaskazin, tuseme Slaa, kusema Rais mwaka huu hatoki kaskazin, naona ni sawa tu. Udhaifu ktk hoja yako ni kuwa sioni uhusiano wa haya mambo matatu: Riz kusema hayo, Usalama wa Taifa na baada ya muhula wa JK kumalizika,
Mani, hivi kila mtu ni lazima awe na kundi?. Mara ngapi nimesema humu jf kuwa sina chama!. Mimi nasimama kwenye ukweli!. Sio mshabiki wala mfuasi wa chama chochote ila ni mfuasi wa demokrasia ya kweli na ya haki!.Hapo ndio anapotutatiza mkuu Pasco maana haeleweki yuko kundi gani !
Mani, hivi kila mtu ni lazima awe na kundi?. Mara ngapi nimesema humu jf kuwa sina chama!. Mimi nasimama kwenye ukweli!. Sio mshabiki wala mfuasi wa chama chochote ila ni mfuasi wa demokrasia ya kweli na ya haki!.
Tumia akili yako kubwa kutufafanulia chanzo cha uamsho kupigwa juzi wakati wakijiandaa kuwaombea dua walopata matatizo kwenye Mv skagit,tumia akili yako pevu kutujulisha kwa nini southern of Sahara haitulii wakati burundi,Rwanda,Congo wote wa dini yako?unajua mauaji ya Kimbari uratibu ulifanyika kwenye nyumba yako ya ibada mikakati ikifanywa na wale wanaokusamehe dhambi kutokana na uwezo wako wa kulima mazo ya Biashara ( rejea Baganda kingdom) elimu yako kubwa imekufanya ushindwe kutambua Role ya kanisa kulifikisha hapa bara la Afrika,Rejea Kitabu cha Walter Rodney ( how euro under developed Africa) ujue mchango wa Dini yako kulifikisha hapa bara la Afrika kiuchumi,kisiasa na kijamaa,unajua msingi wa kuletewa dini yako ni kupata fursa ya kukutawala na kukunyonya? Acha kubagua na kudhalilisha waafrika wenzio huku ukijifaragua kwa dini za makombo?
Nafikiri ujanielewa mimi sihitaji asimamishwe muislam Ndio nimpigie kura ninachozungumzia mimi mlengo wa pro CDM hapa JF wanavyowaona WAislam Kama useless flani ivi ...Kiasi hata CDM wasimamishe muislam hawataaminikaHivi Una uhakika gani hiyo 2015 CCM hatagombea mkristo na Chadema kugombea muislam?
I'm just Curious!
Sichagui mtukulingana nadini yake ingekua ivyo bs WAislam wote wangekua wanakipigia cuf maana kiliitwa chama cha kislam.lakini kwa CDM wafuasi wake Ndio wanawakimbiza WAislam kwakuwakashifu hapa JF Kama watu wasokua na maana katika jamii yawatanzania
Hata ccm ikishindwa sio tatizo kwangu ninachojaribu kuonyesha hawa wafuasi wa CDM wasiwakashifu watu ambao nao ni wapiga kura hata Kama watu hatupigi kura kwa misingi ya dini au wewe unaona WAislam hata wasipo vote for CDM wa ka switch kwengine u think CDM watawin !?
Nafikiri ujanielewa mimi sihitaji asimamishwe muislam Ndio nimpigie kura ninachozungumzia mimi mlengo wa pro CDM hapa JF wanavyowaona WAislam Kama useless flani ivi ...Kiasi hata CDM wasimamishe muislam hawataaminika
99% ya Muslim they won't vote for CDM 2015 so jifuraisheni tu hapa kilasiku kuwatusi hapa mara mmekaririshwa madrasa mara kaziyenu kula ubwabwa mara hamjasoma so u think they will go and vote for u people !? Kama mnawaona WAislam wajinga bs ujingawao mtauwona vizuri 2015 ."....I'm Muslim and I'm proud 2 be Muslim siwezi kwenda kumpigia kura mtu anaenikashifu Kila siku .naukifuatilia kwa undani watu wote wanao wakashifu WAislam ni wafuasi wa CDM so inaniwia vigumu kuelewa malengo Yao ....wakati Niko chuo nilikua mfuasi mzuri wa CDM Kama miaka miwili nyuma .Baada ya kuijua JF nikawajua vizuri wafuasi wa CDM Wana tapishwa na WAislam nimepoteza hamnacho
99% ya Muslim they won't vote for CDM 2015 so jifuraisheni tu hapa kilasiku kuwatusi hapa mara mmekaririshwa madrasa mara kaziyenu kula ubwabwa mara hamjasoma so u think they will go and vote for u people !? Kama mnawaona WAislam wajinga bs ujingawao mtauwona vizuri 2015 ."....I'm Muslim and I'm proud 2 be Muslim siwezi kwenda kumpigia kura mtu anaenikashifu Kila siku .naukifuatilia kwa undani watu wote wanao wakashifu WAislam ni wafuasi wa CDM so inaniwia vigumu kuelewa malengo Yao ....wakati Niko chuo nilikua mfuasi mzuri wa CDM Kama miaka miwili nyuma .Baada ya kuijua JF nikawajua vizuri wafuasi wa CDM Wana tapishwa na WAislam nimepoteza hamnacho
wewe sio muwakilishi wa waisilamu wote bwana..na usitumie nafsi yako kuwakilisha mawazo ya waislam...waislam sasa hivi wengi wanaanza pata uelewa...usipotoshe uma pliz,Stay put