Mi nasubiria tu!ccm ikitolewa madarakani sijui ataficha wapi uso wake
ndio wale wale lazima utawajua wakikutanakama siasa zenyewe ndizo hizi za kutishiana, angalieni msije kuwaponza hao mnaowategemea kuchukua nchi 2015, wazee wa kazi wasije wakawapotezea into thin air kabla ya 2015!. Si niliwawekea hapa kisio la chini la utawala wa ccm kwa nchi hii ni miaka 100!, hansini iliyomalizi na sasa bado 50 mingine!. Kumbukeni hamwezi kugombea kisu, mwenzako ameshika kwenye mpini, kabla kisu hujakishika, unaana kumtishia atakiona cha mtema kuni!, unajua anaweza kukasirika na kuamua sio tuu kukushikisha kwenye makali, bali kukukata nacho!.
Hakuna ubishi chadema ndicho chama chenye matumaini makubwa sana kwa sasa, lakini watakaokiponza chadema, ni watu wenye mawazo kama haya!, mtanisamehe kusema watu wenye mawazo kama haya, hawana akili timamu japo sio lazima mpaka waokote makopo!, hawa ndio ma hate preachers ambao chadema inapaswa kuwashughulikia kwanza wasije wakakitibulia ushindi laini wanao uotea!.
.
99% ya muslim they won't vote for cdm 2015 so jifuraisheni tu hapa kilasiku kuwatusi hapa mara mmekaririshwa madrasa mara kaziyenu kula ubwabwa mara hamjasoma so u think they will go and vote for u people !? Kama mnawaona waislam wajinga bs ujingawao mtauwona vizuri 2015 ."....i'm muslim and i'm proud 2 be muslim siwezi kwenda kumpigia kura mtu anaenikashifu kila siku .naukifuatilia kwa undani watu wote wanao wakashifu waislam ni wafuasi wa cdm so inaniwia vigumu kuelewa malengo yao ....wakati niko chuo nilikua mfuasi mzuri wa cdm kama miaka miwili nyuma .baada ya kuijua jf nikawajua vizuri wafuasi wa cdm wana tapishwa na waislam nimepoteza hamnacho
Mkuu Siera, pole sana for you change of heart!, kwa vile hatupigi kura kwa misingi ya udini kwa vile hatutafuti Kadhi!, Kama CCM imechokwa, hata wewe na wenzio wote msipoipigia Chadema, bado ndio itakayopita!, unadhani wenzako ni wapiga kura?. CCM imeshachokwa kanda ya Kaskazini, kanda ya Ziwa dalili sio nzuri!, hizo kanda mbili tuu, zikii back Chadema, hata wote mliobakia muichague CCM, bado matokeo yatakuwa CCM Out!. Nakushauri boda jitayarishe kisaikolojia kukubali "the innevitable" mara tuu yatakapokuwa yale uliyodhani hayawi!.99% ya Muslim they won't vote for CDM 2015 so jifuraisheni tu hapa kilasiku kuwatusi hapa mara mmekaririshwa madrasa mara kaziyenu kula ubwabwa mara hamjasoma so u think they will go and vote for u people !? Kama mnawaona WAislam wajinga bs ujingawao mtauwona vizuri 2015 ."....I'm Muslim and I'm proud 2 be Muslim siwezi kwenda kumpigia kura mtu anaenikashifu Kila siku .naukifuatilia kwa undani watu wote wanao wakashifu WAislam ni wafuasi wa CDM so inaniwia vigumu kuelewa malengo Yao ....wakati Niko chuo nilikua mfuasi mzuri wa CDM Kama miaka miwili nyuma .Baada ya kuijua JF nikawajua vizuri wafuasi wa CDM Wana tapishwa na WAislam nimepoteza hamnacho
mkuu siera, pole sana for you change of heart!, kwa vile hatupigi kura kwa misingi ya udini kwa vile hatutafuti kadhi!, kama ccm imechokwa, hata wewe na wenzio wote msipoipigia chadema, bado ndio itakayopita!, unadhani wenzako ni wapiga kura?. Ccm imeshachokwa kanda ya kaskazini, kanda ya ziwa dalili sio nzuri!, hizo kanda mbili tuu, zikii back chadema, hata wote mliobakia muichague ccm, bado matokeo yatakuwa ccm out!. Nakushauri boda jitayarishe kisaikolojia kukubali "the innevitable" mara tuu yatakapokuwa yale uliyodhani hayawi!.
Hata ccm ikishindwa sio tatizo kwangu ninachojaribu kuonyesha hawa wafuasi wa CDM wasiwakashifu watu ambao nao ni wapiga kura hata Kama watu hatupigi kura kwa misingi ya dini au wewe unaona WAislam hata wasipo vote for CDM wa ka switch kwengine u think CDM watawin !?Mkuu Siera, pole sana for you change of heart!, kwa vile hatupigi kura kwa misingi ya udini kwa vile hatutafuti Kadhi!, Kama CCM imechokwa, hata wewe na wenzio wote msipoipigia Chadema, bado ndio itakayopita!, unadhani wenzako ni wapiga kura?. CCM imeshachokwa kanda ya Kaskazini, kanda ya Ziwa dalili sio nzuri!, hizo kanda mbili tuu, zikii back Chadema, hata wote mliobakia muichague CCM, bado matokeo yatakuwa CCM Out!. Nakushauri boda jitayarishe kisaikolojia kukubali "the innevitable" mara tuu yatakapokuwa yale uliyodhani hayawi!.
Umesikia cdm tumelalamika kuwa tumeibiwa? unawezaje kujua mambo ya nyumbani mwa jirani yako ili hali wao wenyewe hawajakuambia kama ulikuwa hujui kuwa wewe ni mno basi leo tambua hilo wanachadema hawajalalamika wewe ccm una lalamika au nawe ni Mwigulu Nchemba wa kuchovya kumsemea Mh. Selasini?