Rizione Kikwete,,,Up Up here we gooooo!

Rizione Kikwete,,,Up Up here we gooooo!

rosemarie

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
6,887
Reaction score
3,442
Former President Rupiah Banda’s eldest son Andrew has been sentenced to two years in prison for corruption.

BBC Breaking news
 
Kwa Tanzania bado sana.. Katika waliotangaza nia sijaona hata mmoja wa kuweza kufanya maamuzi kama haya
 
2yrs kwa wivi wa mult billions ni dhihaka!! Hapa bongo polisi na mahakama zimegeuzwa ice cream za vibopa na mafisadi!!!
 
sasa mbona fest boni wa mkuu wa kasa hayupo kwenye hiyo taarifa?mim nilidhan yeye ndo kapigwa hizo mvua
 
Back
Top Bottom