UrithiOpitions kama zipi mkuu?
Ok.....! unaweza kunisaidia mkuu, maana mimi ni mjinga sijui kila kitu. ndio maana niko hapa kujifunza kwa wanaojua.
Iyo riziki mafungu mawili kwamba Kuna kukosa Kuna watu hawakosei wewe kama unabahatisha ndio utegemee kukosa hao wasanii Wapo sahihi.Wakuu...
The LORD is good!!!
Kuna ka verse kwenye wimbo wa mboso mshedede, "anaye sema riziki mafungu saba, anakupotosha!
Riziki mafungu mawili, kupata au kukosa...."
Halafu
Harmonize naye kuna kaverse akaimba "riziki mafungu saba" wimbo wa
Haunishitui kama sikosei....
Nb.... Nimetumia kama mifano tu wakuu, hapo nilikuwa bado sijaiamini injili, ila verse bado nazikumbuka.
Msiseme oooh!! Mzaburi anasikilizaga bongo.