Kuna mambo mazuri ya kujifunza kutoka wa wasemaji wote waliohojiwa. But kwa watu wanapenda kusoma biblia na quran bila "context" ni kazi na ndo maana tuna matatizo mengi mbili za imani zote.
Tunakuja na tafsiri amabzo si sahihi.
Context context context.
- Kiliandikwa lini?
- Katika mazigira yapi?
- kwa sasa kitafwiriwe je ?
- etc
haya ni maswali muhimu . Tukiwa tunameza tu hizi wakoritho na wakolosai zetu kazi tunayo ukoloni wa hizi dini tulioachiwa utazidi kuturidisha nyuma.
Majimshindo said:Tupe mfano wa kilichokuwa "quoted out of context" na kikatowa maana isiyo halisi na utupe "context" iliyo sahihi.
Wewe huwezi kufanya mdahalao endelevu sababu uko hardline sana na imani yako . Historia tu inaoesha hizi dini zote mbili zime originate kutoka wapi . Huna haja ya kusoma quran wala biblia kujua jibu.Kama mtazamo wako kuwa hizi dini ni "ukoloni", jee umeisoma Qur'an? Kama ndio, tuonyeshe ni wapi ulipopaona pana ukoloni kwenye Qur'an, kama hujaisoma, naomba uisome halafu utuonyeshe "context" yenye "ukoloni" kwenye Qur'an. Ukishindwa ina maana umedanganya. Chunga, usi "quote out of context".