Riz1? Mbona hakuonekana kuwapa moyo wagonjwa Muhimbili,madaktari walipogoma??
Riz1? Mbona hakuonekana kuwapa moyo wagonjwa Muhimbili,madaktari walipogoma??
DAH kama hutanii, basi you really need to get a life.Riz1? Mbona hakuonekana kuwapa moyo wagonjwa Muhimbili,madaktari walipogoma??
Alikuwa anamtuliza sister Mwanaasha kuwa asijali hata Div 4 kwa mtoto wa maskani ya Magogoni anaweza kuibukia pazuri tuuRiz1? Mbona hakuonekana kuwapa moyo wagonjwa Muhimbili,madaktari walipogoma??
DAH kama hutanii, basi you really need to get a life.
kweli JF ni kiboko...sas ritz 1 angefanya nini?
Alikuwa anamtuliza sister Mwanaasha kuwa asijali hata Div 4 kwa mtoto wa maskani ya Magogoni anaweza kuibukia pazuri tuu
I do have a life and very happy!!Swali ni kuwa yeye anamchango gani mkubwa kiviile in search a way akionekana uwanjani watu wanafarijika?
Kama ni mtu muhimu,basi na nyanja zingine angejitokeza!!!
Hakuna mtu aliyekwambia amefarijika...I do have a life and very happy!!Swali ni kuwa yeye anamchango gani mkubwa kiviile in search a way akionekana uwanjani watu wanafarijika?
Kama ni mtu muhimu,basi na nyanja zingine angejitokeza!!!