RIZ-1 Acha uoga kwa Bashite

Kwani huo ujumbe una ubaya gani?? Mbona unatumia nguvu nyingi kwenye jambo la kawaida saana, mie nimezungumzia muda wa reply time tu, au we niambie ku.a ubaya gani hafi mtu afake account??
watu kwa kupenda umbea, khaaa , source page ni fake, hiyo ya riz yenyewe inaweza kuwa fake,lakini watu wanatiririkaaaa, huyo poul makonda ndio sawa na paul makonda?
upuuzi, na utoto
 
kwahiyo unajua kwamba ni fake akaunts, nia ya kuleta humu ilikuwa nini hasa?
Kwani huo ujumbe una ubaya gani?? Mbona unatumia nguvu nyingi kwenye jambo la kawaida saana, mie nimezungumzia muda wa reply time tu, au we niambie ku.a ubaya gani hafi mtu afake account??
 
Mbona unashangaa mkuu? Huo ndio uhalisia tena tumshukuru RC kwa kuliweka wazi maana hakutaka kudanganya au kufichaficha

Binafsi hii Kauli huwa inaniudhi sana ,kwa hiyo hata Mkuu alipo sema Polis wanalinda maslahi ya CCM hakusema kwa Bahati mbaya.!!.

Wasio wana CCM Nchi yao ni ipi sasa ,wabadili basi Jina na iitwe CCM..Kauli za Enzi za Kitwana mpaka leo aahhkhh.😡😡
 
Eti nchi ya CCM, CCM hii hii inayochafuliwa na musiba hadharani kwenye vyombo vya habari?
Jana Musiba amesema Magufuli anamlipa milioni 60 kwa mwezi ili tu amsifie. Hata mkiacha kununua magazeti yake he doesn’t care.
 
Yaani mpaka umri huo unashindwa kudadavua fake account, basi unatatizo kichwani. Sio kila taka taka utuletee humu.
 
Huyo sio Makonda, By the way I stand with RIZ kuogopa ni muhimu serikali hii kukua, kuteka ni kitu cha kawaida na kidogo sana maana una mke na watoto wadogo wanaokutegemea kuna makini na bashite ni muhimu hasije kukuset watoto wakakosa baba
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…