Riyama, mapenzi hayana umri

Riyama, mapenzi hayana umri

Hahahaha
Najua wenyewe wenye lugha kawakera kweli hapo.
Sasa amefanya hadi tusi diskas kina Riyama yushangae lugha yake[emoji1]
Mpuuzi sana huyu jamaa si angetumia hata neno hongera
 
Wanapenda vibenten wakija kumwaga na kutolewa siri wanaanza kulialia
 
Siyo jimama sem
"Masharaah" ndo upuuzi gani? lugha za watu kama hamzijui ni vyema mkawaachia tu wenyewe? hapo usikute ushawaombea wenzako laana!
maana ya lugha ni mtu aelewe unamaanisha nini? we umeeewa ndiyo maana ume-comment.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom