and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,513
- 40,354
Kati ya Miki hii miwili (Riyadh Vs Jeddah) wapi Pana fursa za kibiashara? Hususani kuuza bidhaa za vyakula (nyama ya mbuzi, samaki toka Tanzania?) Mwenye uelewa naomba muongozo!
Riyadh ndio Saudi's Capital. Inakadiriwa itakuja kuizid Dubai ifikapo 2025Kati ya Miki hii miwili (Riyadh Vs Jeddah) wapi Pana fursa za kibiashara? Hususani kuuza bidhaa za vyakula (nyama ya mbuzi, samaki toka Tanzania?) Mwenye uelewa naomba muongozo!
View attachment 2304156View attachment 2304158
Ongeza na BKRiyadh ndio Saudi's Capital. Inakadiriwa itakuja kuizid Dubai ifikapo 2025
Acha kufananisha Dubai na vitu vya ajabuRiyadh ndio Saudi's Capital. Inakadiriwa itakuja kuizid Dubai ifikapo 2025