Riwaya ya Kipelelezi: Hatari

Tutaendelea Wakuu, msiwe na shaka. Kuna mambo hayajakaa sawa hivyo riwaya hii bado haijaendelea.
 
Hizi hadithi za Daniel Mwasba huwa haziishi humu JF usome tu heading usijiangashe kuendelea tafuta vitabu vyake tu.
Kwakweli aisee, wacha tu nifanye hivyo maana huyu jamaa ataniua kwa alosto.!
 
Kwakweli aisee, wacha tu nifanye hivyo maana huyu jamaa ataniua kwa alosto.!
Hata ukiitafuta hutoipata. Naposema bado haijaendelea mkuu namaanisha. Ilipoishia ndio hapohapo. Mambo ni mengi thats why, so ikiendelea itawekwa.
Kwasasa imeanza Anga ya Washenzi tuisome huku tukiisubiri Hatari ikitungwa
 

RIWAYA: Anga ya Washenzi na Gilbert Evarist Mushi
 
Sijisumbui mpaka iishe ndo nitasoma hizi habari za kusubiri zinachosha
 
Mkuu kuanza story mpya wakati nyingine haiendelei unachosha wa somaji na kukatisha tamaa kuwa nayo itaishia katikati ukweli sianzi kusoma maana nimechoka arosto
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…