bobefu zoefu
JF-Expert Member
- Feb 15, 2018
- 567
- 425
Huyu jamaa hajielewi. Nimeshampa tahadhari kwenye PM akiendelea shauri yake.Hata mm naunga mkono hoja yako..Hussen Tuwa anafanya kazi kubwa ya kutunga na kuandika, alafu mtu anakuja kupost bure huku.
Mods naomba mfunge huu Uzi.. Maana hii kazi ina copyright
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa hajielewi. Nimeshampa tahadhari kwenye PM akiendelea shauri yake.
Nimeshanunua