FANANI MTENZI
Senior Member
- Jul 4, 2017
- 106
- 95
UPEPO WA USIKU-3
BONIFACE BIRAGE
Upepo ulitoa kama mlio wa ulalamishi flani hivi!Matawi yalizidi kulalama na katika ule ulalamishi kulionesha kwamba kuna dalili nje!Dalili ya mvua kunyesha!
Bario alitulia alichokuwa anakifanya nakumgeukia mkewe!Hasira ikampanda!Kisha akarudisha mkono nakuendelea na alichokuwa anakifanya tangu mwanzo!Laredo alichukia nakumsogelea kisha akmpiga kofi la mgongo!
“Acha nimesema!”alifoka kwa nguvu!”alimpenda mumewe kwa upande mwingine!Kilikuwa kitu ambacho hakukitegemea kama kingetekelezwa na mumewe.Inamaana kama ana haja na jambo hilo hawezi kumwambia mpaka afikie hatua ya kutenda kitendo hicho!
“Acha nimesema!”akamng’akia utadhani mama anamgombeza mtoto wake!
Alichokifanya nikukumbatia mumewe nakumzuia asiitumie mikono yake!Hiyo ni njia yakumfanya aache kitendo kile cha kujichua!Ilibidi atumie ujasiri iliainusuru ndoa yake.Japo kuna kila dalili kwamba mambo sio mazuri lakini kuna tumaini kwa namna moja au nyingine.
“Mimi ni mkeo na nina sauti kwako ninakuamuru acha jambo hili!”alikaripia na palepale Bario akakoma kufanya kitu kile!
Alitaka kumfokea lakini alijua kumfokea kungeleta maneno kati yake na mumewe.Hivyo aliamua kutafuta namna ya kutatua hali hiyo ya mumewe.Bil shaka ikabainika kuwa huo umekuwa mchezo wa mumewe.Kama vile yeye aufanyavyo kwa Masua.Mumewe alijiridhisha kwa kujichua,na yeye alijiridhisha kwakumsaliti na mchepuko wa nje!Kifupi akatambua kwamba ndoa yao imeingia dosari kubwa sana!
Akamwachia mumewe nakwenda naye hadi chumbani akamwacha akiwa amelala!
“Mume wangu upo sawa?”aliuliza akijali.Hungedhani kama ni huyu alikuwa anamsaliti muda mfupi uliopita!Hakuwa na hiyo dalili kabisa.Ni kama ilivyokwamba mwanamke fisadi wa mapenzi hunywa katika giza penzi haramu kisha hupangusa mdomo nakusema hakuna aliyeniona.
“Nipo sawa.We nenda kapumzike.”
“Unauhakika baba?”
“Ndiyo.”
“Huniihitaji?”
“Hapana.”alijibu kwa mudi iliyotulia.Ndoa yao ilikuwa ya maajabu sana.Usingeielewa hata kidogo!
“Basi naomba kwa leo tu nilale kando yako?”
“NImesema nenda sina haja na wewe.”
Laredo alitizama chini kwa huzuni akahisi labda jamaa ametambua kwamba kuna kitu kinaendelea.Au atakuwa ameshtuka mchezo wangu nini?Aliiweka kama moja ya sababu za mumewe kutokuwa na hawaa na yeye.
“Basii hata nilale chini kwenye zulia nahitaji kuhakikisha kama upo salama.Naomba unikubalie mume wangu.Sijawahi kukuomba ombi kama hilo.Niachie kwa leo tu.”
“Baby tafadhali nenda ukalale niache nipumzike.”
Laredo alimfuata mumewe nakumbusu shavu kisha akarudi zake sebuleni kulala.Alipitiwa na usingizi baada ya shughuli pevu na Masua.
***
Kama ilivyoada aliamka asubuhi nakumuandalia maji ya kuoga.Akamtengea bafuni kisha yeye akarudi kuandaa chai alikuwa ameaka saa kumi na moja kamili!Chai ikiwa inaendelea kupata kuchemka alitoka nje nakueleka kwa Masua.
Kama makubaliano yao,huwa Masua hafungi mlango.Laredo aliingia nakuufungua kisha akamfuata Masua nakumuamsha,’Amka wewe.”
Masua aliamka na wenge la usingizi.Alipogundua ni Laredo mwili wote ulichemka,”Wewe mumeo kaondoka?”
“Bado amelala.”Laredo alijibu akiendela na zoezi la kumpapasa Masua kwa lengo lakumhamasisha na anachotaka kukifanya.
“Kwa hiyo vipi?”
“Na hitaji mzunguko mmoja kabla ya yote.”
“Njoo hapa.”akaamuru.Nakuvuta akampindua na yeye kuwa juu yake.Kweli penzi la kuiba tamu sana.Na kama ilivyo falsafa ya Masua(Namuogopa mke wa mtu lakini nikimpata simwachii!)
Akawa juu yake na ndani ya muda mfupi kitanda kilizidi kulalamika!
***
Laredo alimalizia kujifunga khanga yake kisha akamwambia,”Nitarudi akishaenda kazini.”
“Poa.”alijibu Masua akijifunika na blanketi usingizi ulimpuliza.Laredo alirudi kwake.Alimkuta mumewe ameshika mswaki akiwa anataka kueleka bafuni!Akashtuka kukuta ameamka.
Alienda bafuni kuoga.Ikawa kazi ya Laredo kutafuta namna yakujificha nakuoga kabla mumewe hajagundua chochote.Tangu usiku wa jana alikuwa na jasho la Masua.Na hilo lingemuuza pindi uchunguzi ukianza.Mumewe alitoka bafuni nayeye akaenda fasta na kujikarabati kwa maji baridi.