Riwaya: Upepo wa usiku-1

Riwaya: Upepo wa usiku-1

UPEPO WA USIKU-2
BONIFACE BIRAGE
“Eti unasemaje wewe?”
“Nitatoa uamuzi hivi karibuni.”kabla hajahitimisha alshtuka kusikia hatua za mtu huko nje!Nywele ziliwasimama!Wakaogopa sana!Mtu Yule aliubisha mlango kwa nguvu nakuwa kama anataka kuuvunja!Wakataharuki kwa mpigo!
Mlango ukafunguliwa na vile walijisahau kuufunga ikawa picha tamu pindi aliyeingia awaone.Akaingia katika giza lile nakukutana nao!Lakini hawakuwa wamewasha taa.Laredo akajilza chini kumkwepa aliyeingia asimtambue!Akaingia chini ya mvungu!
Aliyeingia ni mumewe!Bario!
“Masua!Masua!”Bario aliita kwenye ukungu wa giza.
“Vipi Bario?”
“Sio vizuri.Nilikuwa nauliza hivi ulimuona mke wangu akitoka?”
“Sijamwona kwani vipi?”aliuliza kana kwamba hajui kitu.Kule mvunguni Laredoa alihisi moyo kutaka kumpasuka!Hatia ilimla kwa haraka!Alimuonea huruma mume wake.Ni nini anafanya?Kulala mvunguni kama mwizi?Kweli ni mwizi!Anauza penzi la mumewe kimagendo!Tena kwa mpangaji mwenzake!
“Nimemkuta hayupo.”alijibu Bario.
“Kwani hamkuwa mmelala wote?”swali hilo lilimkera sana Bario hata akamkazia macho Masua kana kwamba kuna jambo zito nyuma ya pazia!
Masua alijua amemchukiza Bario wakati ukweli anaujua kwamba mkewe yupo chini ya uvungu wake.Muda mfupi uliopita alikuwa naye hapo wakizini pamoja katika ibada ya usaliti!Kwa hivyo kumuuliza vile ni kama anamdhihaki.Lakini akajitia purazai kwakuwa hilo ndo njia pekee kumteka bakunja wake asiambulie lolote la ukweli!
Vilevile kwa upande wa Bario kumuonesha hasira Masua kungethibitisha udhaifu katika ndoa yake na Laredo.Alipogundua hilo alituliza hasira zake na kuweka sura ya wasiwasi kwamba walikuwa wote na mke wake!
“Nilitangulia kulala lakini niliposhtuka sikubahatika kumuona.”
Huko mvunguni Laredo alilaani maneno ya mumewe,”Acha uongo tangu lini ukajua kama nimelala.Tangu lini ukanitamani nikitie joto kitanda chako?”alijisemea kimoyomoyo kwa hasira nakuuma meno.Alilaani kimoyomoyo nakuhisi kama mawazo ya moyoni yangesikika!
“Dah!Umemuangalia chooni?”
“Nimecheki kote huko lakini sijamwona.”
“Basi wewe rudi ndani umsubiri.Mtu mzima Yule hakuna chochote kibaya katakachomtokea.”alijaribu kutuliza Masua akiwa na imani kwamba ameleweka.Bario alikubali kishingo upande.Akatoka na kwenda zake. Alikuwa mwingi wa mawazo.Kwa yanayotokea.Hakuweza kuyaelewa vizuri hasa kutoweka kwa mkewe.Alirudi ndani nakusubiri pale ukumbini.Ni mkewe wa miaka mitano.Kwa mwaka wa kwanza wa ndoa yao walikuwa vizuri ila wapili ulipofuata kukawa na migogoro ya hapa na pale hali iliyosababisha wao kutoshiriki kitanda kimoja kama mke na mume.Mkewe alilala sebuleni na yeye chumbani.Huo ndo ukawa utaratibu wa ndoa yao.Tatizo hakuna aliyeomba msaada kutoka kwa watu wa nje kujaribu kuondoa tofauti zao.Walionekana nje vizuri kama wanandoa waliona maaendeleo tena wakipendana.Walipendana nje tu.Muda wa kupumzika ulitibuliwa na upepo mbaya wa usiku!Hawakulala kaitanda kimoja wala kutumia shuka,godoro moja!Huo ndio utaratibu wao mpya!
Alingoja sana pale ukumbini.Kimya kilipopita alishtukia mlango ukifunguliwa kwa uangalifu!Mkewe akaingia kwa kunyata!Hali hiyo ikampatiliza Bario.Akawasha taa pap!Mkewe aliganda pale mlangoni kama amemwagiwa maji baridi!Alikauka mwili mzima!Macho makali ya Bario yalimvunja ini na moyo!
“Umetoka wapi?”ndo swali la kwanza!Laredo alivuta pumzi ndefu na kuzishusha!Nimekamatika leo!
Bahati mbaya khanga ikampwaya nakuanguka akabaki uchi!Bario alikuwa anamuhesabia matukio hayo!Ni muda mrefu tangu aone uchi wa mkewe!Hata alipouona leo alishtuka na mwili kumsisimka!
“Ni…ni…ni…”akawa anamumunya maneno tu!Bario akainukia nakuanza kupiga hatua kumfuata mkewe!Laredo alingoja kama kondoo aliyetayari kuchinjwa!Alitulia huku akitetemeka.Kila hatua aliyoiga mumewe ilizidi kumchanganya!Mumewe alimfikia nakumtazama kwa kumsawiri mwili wake!Hisia kali zilizo katika macho ya mumewe zilimfanya akumbuke mwanzoni mwa siku za mahaba kati yake na mwanaume huyu!Mume mtamu jamani alimkumbuka alivyokuwa enzi hizo.Haya ndiyo macho yaliyomchanganya mwili na roho!Leo kapewa tena macho hayo.Alijua leo mumewe angedai haki yake kwa jinsi alivyomtizama.Lakini tofauti na alivyotazamia alishtukia mumewe akiinama nakunyanyua khanga kisha akamfunika.Ilikuwa picha iliyomchanganya sana!
Japo alikwisha tosheka alipokuwa kwa Masua lakini alitaka kumpima mumewe.Hata kama angekuwa tayari angemkubalia shingo upande tu!Bario akageuka nakuelekea chumbani kwake.hakumsemesha tena!Tukio hilo likamshangaza sana. Laredo.Ilibidi ajiulize mara mbilimbili kulikoni na mume wake?
Jibu halikupatikana kabisa!Akatumbua macho!Akiwa mwingi wa mawazo aliamua kwenda msalani wa ndani alikatiza korido nakuingia akakuta pako wazi.Cha kumshangaza kulikuwa na sauti ya miguno yakimahaba!Sauti ya mumewe!Akajikuta akitaka kujua kilichomsibu nakuingia!Mlango ulikuwa wzi akaufungua!Mungu wangu!Alimkuta mumewe akijichua!Nguvu zilimwsihia na hasira kumpanda mpaka juu!
“Bario!Unafanya nini?Kwani mimi sipo mpaka ufanye hivi!”Kile kitendo kilimuumiza sana nakumfedhehesha!Upepo wa usiku ukazidi kupuliza kwa kasi nakutetemesha miti!
Part 3 wapiiiiii
 
duu inavutia hii simulizi, endelea mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom