swahiba Senior
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 2,478
- 3,630
majina gani anatumia fb??Huyu Mwamba kaleta usanii wa hali ya juu, hii hadithi ipo kwenye page ya mwandishi Kelvin Mponda facebook na ameishia sehemu ya 70....Mimi niliisoma kule na nikawa nasubiri hapa ianze sehemu ya 71 nikijua mleta uzi ana mzigo wote...Nilipoona kapost anaenda nje ya nchi nikajua tayari swaga za Mswahili na janja ya nyani.
Kwa hiyo wadau turudi tu tukamsubiri Lege ambaye ni Mkweli kuliko huyu Mwamba anatuletea Ukanjanja wa Mjini.
Page inaitwa Riwaya za mwandishi Kelvin Mpondamajina gani anatumia fb??
Halafu wwe,Mungu anakuona lknTujeee tujeeeee majasusi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] JasusiHalafu wwe,Mungu anakuona lkn
Bwahahahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Jasusi
Mwambaaa endeleeeeeaaaa Jana uliishia patamuu kweli kweli [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Bwahahahaha
Mkuu Mimi nipo huku kwenye ile inaitwa duka la rohoMwambaaa endeleeeeeaaaa Jana uliishia patamuu kweli kweli [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] nakujaaaaMkuu Mimi nipo huku kwenye ile inaitwa duka la roho
Hamiaeni huku wakuu
Na kama kuna stori na simulizi kama hizi nshtueMkuu Mimi nipo huku kwenye ile inaitwa duka la roho
Hamiaeni huku wakuu
Mkuu Mimi nipo huku kwenye ile inaitwa duka la roho
Hamiaeni huku wakuu
We tafuta tu Riwaya Duka la rohoWapi uko jaman weken link
Mkuu zipo nyingi tu mbona humuNa kama kuna stori na simulizi kama hizi nshtue