Riwaya: Sala ya Sarah

Daaaaaah

Nyie wenzangu mna roho mbaya Sana hakuna hata mmoja aliyekuja kunistua wakati mtunzi ametutag wote.


Nilitegemea kuwafikia ili twende sawa nimepangua epsode weee mpaka nashangaa story inaisha.

Na hizi notification za jf useng** mtupu hazionekani.

Story ni nzuri Sana mtunzi kajitahidi kutoingiza suala la mapenzi maana sikuona popote Sarah akibanjuliwa na naamini kafa na bikra yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikizeeka nataka niwe km Sarah na Aisha

Shukran Shangazi Shunie kwa maunzo bora yaliyomuwezesha mjomba the_legend
kutupatia utamu hakika tumeburudika.
Hakika safari moja huanzisha nyingine
twangoja utamu ujao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…