Sio kipindi cha kwaresma ukifata maandiko vizuri unabidi usimkwaze mtu kipindi chote cha maisha yako pendaneni kama ilivyo amri kuu ya mapendo nduguOkay kukwaza watu hasa kipindi Cha kwaresma sio vizuri. So ngoja niwe mpole, bwana Legend kumradhi sana..
Sent using Jamii Forums mobile app
Aah..wapi...Hahahaa, everybody say yeaaah[emoji344]
the Legend☆
Hahahaa, hujalala tuu mpaka sahivi?Aah..wapi...
Kusoma ni kufahamu ile kukesha ni mbwembwe tu...
woyooo...
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji119][emoji119] mkuu nimemaliza naomba zawadi bila maswaliHahahaa, hujalala tuu mpaka sahivi?
the Legend☆
Hahahahaa, duh. Heshima yako[emoji114][emoji114][emoji114]
Nataka zawadi mimi[emoji4]Hahahahaa, duh. Heshima yako[emoji114][emoji114][emoji114]
the Legend☆
Mpuuzi ni wa kupuuza tu!itakua anawashwa washwa!Mkuu kuna watu wanakwaza sana
the Legend☆
Huu ndo uungwana ss,kula gwara.Okay kukwaza watu hasa kipindi Cha kwaresma sio vizuri. So ngoja niwe mpole, bwana Legend kumradhi sana..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaa, zawadi yako tayari nlishaiandaa, leo ntakupa bila shaka[emoji4]
Hizo ss siasa mweshimiwaHahahaa, zawadi yako tayari nlishaiandaa, leo ntakupa bila shaka[emoji4]
the Legend☆
[emoji2]sio siasa, nicheki sahivi
Nakucheki apa aisee[emoji2]sio siasa, nicheki sahivi
the Legend☆
Aya, afu usisahau kuleta mrejesho hapa[emoji4]
[emoji38][emoji38][emoji38]hayo mambo ya ray CharlesAya, afu usisahau kuleta mrejesho hapa[emoji4]
the Legend☆
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38]hayo mambo ya ray Charles
Usjali ntauleta
Sent using Jamii Forums mobile app